Aibu nyingine;airport ya dar es salaam;jnia yarindima na giza masaa 3 saasa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,347
17,368
Katika ule msemo usemao usipoziba ufa utajenga ukuta..baada ya majuzi kuzima usiku na kufanya watu washindwe kutua na kuruka sasa ni masaa ma4 airport nzima imezimwa na kila ofisi watu wamekimbia kutokana na giza akuna taa wala
comp wala printer zinazofanya kazi

waheshimiwa mnaohusika mnatusaidiaje na hili jamani kwa kuwa ni aibu ya taifa na ikifika usiku kwa hali hii ni kituko kingine tunakitengeneza jamani.....ifike wakati tujiandae kwa matatizo kama haya nionavyo watu wanajifanya kuzunguka huku na kule na baya zaidi jenereta linawaka kama kawaida moto auji sasa sijui litaendelea mpaka wapi
walipoulizwa wapi director wa taa wakasema anasoma masters so huwa anaingia jioni tu

hii ni aibu kumpa mtu madaraka makubwa kama haya huku akishinda shule je tatizo la yeyey kuchelewa kusoma na leo hii anashindwa kutumikia majukumu yake nani aadhibiwe ???m nahisi ni vizuri kuwaangalia haawa elimu zao kabla ya kugawa tu vyeo matokeo yake anakutana na watu wenye masters wanamkimbiza anaamua kuona aibu kuanza kusoma uzeeni na kushindwa kufanya majukumu yake jamani embu tusaidieni

wakuu wa wizara embu tusaidieni kwa hili
 

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,414
Na sasa hivi nimetoka kusoma tamko lao "tamu sana".
Wamedai tatizo kama hilo halitatokea kamwe. Kwamba ile juzi ndo mara ya mwisho!
Tamko limetoka leo.
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
48,615
67,845
tena???? labda juzi haikuundwa tume ndio maana wanashinikiza tume iuundwe..........
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,347
17,368
tena???? labda juzi haikuundwa tume ndio maana wanashinikiza tume iuundwe..........

niwachekeshe tu aibu yao aibu yangu
majuzi wakati wa umeme kukatika manager wa ndege moja ya nchini swiss alipigiwa simu kwamba akuna umeme dar??akajibu upo kwa kuwa walijitahdi pale counter kuwe na taa kuficha aibu yao kumbe nje ni aibu tupu gizza tetere..mmama wa watu asijibu mbona unawaka wameshinwaje kutua kutoka nje akuweza hata kuendelea kuongea akuamini giza lake..jamani sasa haya mambo yanaendelea na leo mpaka sasa hii aibu tunaenda wapi jamani..ati wanadai wale kampuniiliofanya wiring ndio iliweka vifaa vya bei rahisi vingine vimeungua vinashindwa kusambaza umeme kazi ipo kwa kweli na ajabu nyinginee...mmmmhhhh niishie hapa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom