Airbus ya ATCL imeishia wapi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airbus ya ATCL imeishia wapi jamani?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Aug 7, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Hivi hii ndege ilikwendaga wapi jamani nakumbuka niliipanda kwenda mwanza sana baadae nikasikia iko safari kwa matengenezo nikahamia precission
  Badae niakapata taarifa inarudi lakini nikiwa njian na KEnyaairways nikaiona pale airport niliporudi sikuisikia tena jamani embu tujulishane na ule mkataba wake tuliuosoma wa kuliapana doller 360,000 na huku mhusika akila 260,000usd huku 100,000usd kila mwezi zikiingia mifukoni mwa wakubwa wapo walioshauri matumizi mabayaya hii ndege wapo waliokuja na vieelelezo vya uhuni wamkataba huu serikali embu e;elezeni mnatumia hela za watanzania wjaue hela zao zimeenda wapi???ama mlikuwa kwenye mchakato wa kugawiwana pesa kutumia mgongo wa ATCL???
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Hivi hii kampuni itakuwa mgongo wa kula pesa z watanzania mpaka lini jamani...yale magari awajsema kinachoendelea na hii ndege tena??uwii ndio maana napata picha kwa yule kamishna kumwasha live mkuu wa miundo mbinu kwamba wamechoka kuona mchoto wa atcl kama kapu la kugawa pesa...bahati mbaya aliongea kwa mhusika alie kwenye payrol ya atcl kila mgao ukitoka so ni wakati muafaka watanzania tufanyeje zile pesa zisitumike ovyo
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Wafanyakazi wa zamani wa ATCL wanasema ule mradi ulikuwa wa wakubwa na mwenye majibu/anaeiendesha kampuni hiyo na kuzichita hizo pesa ni Shukuru Kawambwa; kwahiyo yeye ndio anayeweza kutoa majibu sahihi ya ndege ile ilikokwenda na anapata mgao wa kiasi gani kwa kuangamiza ATCL!
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  wafanyakazi walio wengi ni wasomi na ndo wanaolipa kodi, ukiwaambia waende kupiga kampeni tuing'oe sisiyemu utasikia hao wanaruka ruka ohhh niko busy, niko na jamaa zangu wa norway. kazi kweli kweli.

  Acha tuendelee kuumia lakini najua yanamwisho wake. kuna vichwa vinakuja vitawatoa macho hawa wazee. wataishia kufungwa uzeeni badala ya kula posho zao ndo watalima mashamba na kurudisha hizo ndege, watafufua makampuni yetu wao wenyewe.
   
 5. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii ndege ilianguka kwa kulalia tumbo kule uwanja wa ndege Mwanza, Tunashukuru Mungu hakuna aliyeumia, ila iliharibika vibaya sana! Tunahitaji mkopo/msaada toka world bank ili tuifufue! Kwa sasa bado ipo Garage!
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  imezama ziwa nyanza:nod:
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,080
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  sio hii mkuu ile ilioanguka ni boing 737/200 lile airbus kuanguka labda lingeangukia bagamoyo jinsi kawambwa shukuru alivyotafuna pesa yake
   
Loading...