Air Zimbabwe Yaanza Safari Tanzania

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,298
Wanajanvi naangalia ITV taarifa ya habari saa mbili leo halafu nashuhudia kusikia nnchi ya Zimbabwe imeshaanza safari zake Tanzania huku nchi ya Zimbabwe inaumasikini na migogoro ya kisiasa na Tanzania hatuna ndege hata moja!

Kulikoni!??
 
Kukusaidia aikuwanza kuja Leo zimekuja nyingi has gone sio maombi yangi ziondoke walakufa ila zisikutishe sana...WHR is AIR SYCHELLES NA SHEREHE KUBWAA AIRPORT NA VIBAHASHA KWA WAANDISHI
 
Back
Top Bottom