Hilo deni mahakama ya SA hawakuliona?! M*#nge mkubwa wewe..!!!!Dawa ya deni ni kulipa CCM acheni ujinga wa kumdanganya Magufuli
Hilo deni mahakama ya SA hawakuliona?!Sasa anamuita Balozi afanyeje? Aingilie maamuzi ya Mahakama? Kabudi alidhani ni Bongo, Mihimili yote inabebwa na mhimili mmoja......Never. Tulipeni deni, mambo ya kusema we are not happy hayasaidii.....huyo happy hawahusu hao, tulipeni.
Tumewadhulumu Walimu, Wakulima, Wakandarasi.....hapa tumegonga mwamba
Umeshaambiwa watengenezaji pekee wa ndege sio wao tu, usidharau nchi kwa udogo wake, leo hii waambie wamarekani kwamba tunasitisha uagizaji wa mitumba toka kwao uone watakavyochanganyikiwa, ndio utaijua nguvu ya buku kama biko, japo ndogo.Kabudi kauliza why Canada? Halafu akasema Canada siyo nchi peke yake inayotengeneza ndege-kwa ligha nyingine anawatishia Canada. Nikawaza tu ndege moja kwa Tnazania ni mali sana, je Canada kupoteza order za Tanzania (ndege 3 au 5 mfano) itatafuna profits za hiyo kampuni kwa kiasi gani? Nasikia wenzetu huweza kuweka order ya ndege nyingi kwa wakati mmoja, hivyo wakitishia ku-cancel order kunakuwa na mtikisiko. Wanajamvi, je na sisi tunaweza kuleta mtikisiko huko au ni hasira zetu tu?
Hilo deni mahakama ya SA hawakuliona?!
Kabudi kauliza why Canada? Halafu akasema Canada siyo nchi peke yake inayotengeneza ndege-kwa ligha nyingine anawatishia Canada. Nikawaza tu ndege moja kwa Tnazania ni mali sana, je Canada kupoteza order za Tanzania (ndege 3 au 5 mfano) itatafuna profits za hiyo kampuni kwa kiasi gani? Nasikia wenzetu huweza kuweka order ya ndege nyingi kwa wakati mmoja, hivyo wakitishia ku-cancel order kunakuwa na mtikisiko. Wanajamvi, je na sisi tunaweza kuleta mtikisiko huko au ni hasira zetu tu?
Sasa anamuita Balozi afanyeje? Aingilie maamuzi ya Mahakama? Kabudi alidhani ni Bongo, Mihimili yote inabebwa na mhimili mmoja......Never. Tulipeni deni, mambo ya kusema we are not happy hayasaidii.....huyo happy hawahusu hao, tulipeni.
Tumewadhulumu Walimu, Wakulima, Wakandarasi.....hapa tumegonga mwamba
Kwanza ndege bado ipo kwenye manunuzi kiwandani haijakabidhiwa mikononi mwa mteja inashikwaje?
Maana yake hapo kuna issue baina ya kiwanda na huyo mshikaji ndege.
Huyo mwenye madai angekuja Tanzania kudai sio kuvizia huko na Tanzania iachane na kununua ndege Canada kwasababu mimi nikiagiza kitu mfano china hakiwezi kushikwa na anae nidai mpaka kiwe mkononi mwangu.
Jambo jingine ATCL haidaiwi wanaodaiwa ni serikali kwanini ashike kampuni yenye ubia na serikali?
Huyo aje Tanzania ashike mali za serikali kama vile ndege za jeshi, helkopta za police hizo ndizo mali za serikali.
Hebu hawa wakanada wakoromewe waache kutuchezea.
Safi sana!Sasa anamuita Balozi afanyeje? Aingilie maamuzi ya Mahakama? Kabudi alidhani ni Bongo, Mihimili yote inabebwa na mhimili mmoja......Never. Tulipeni deni, mambo ya kusema we are not happy hayasaidii.....huyo happy hawahusu hao, tulipeni.
Tumewadhulumu Walimu, Wakulima, Wakandarasi.....hapa tumegonga mwamba
Wewe ndyo ms*nge mkubwa kuliko iko hivi;Steyn anakidai Taifa fedha nyingi sana ambapo walianza kwa kumlipa baadae serikali ikaacha kumlipa,hata kule South Africa hatukushinda ile kesi kama unakumbuka mahakama ya South ilishindwa kusikikiza kesi hiyo kwa kuwa haikuwa na uwezo wa kuisikiliza kesi hiyo (haikuwa na mamlaka ya kisheria kusijikiza kesi hiyo)Hilo deni mahakama ya SA hawakuliona?! M*#nge mkubwa wewe..!!!!
Huna akili. Hivi unadhani wao wajinga wakamate ndege ambayo iko yatengenezwa?
Wana info ndio maana
Umesahau Dreamliner mpya walitangaza inakuja afu baadae wakasema wakiotangaza wakamatwe?
Shoga wewe subiria sasa huko CanadaHilo deni mahakama ya SA hawakuliona?! M*#nge mkubwa wewe..!!!!
Mtaelewa tu mazombie nyinyiThis is unacceptable
Wewe ni mwehu hauna akili punga muuza birianiUmeshaambiwa watengenezaji pekee wa ndege sio wao tu, usidharau nchi kwa udogo wake, leo hii waambie wamarekani kwamba tunasitisha uagizaji wa mitumba toka kwao uone watakavyochanganyikiwa, ndio utaijua nguvu ya buku kama biko, japo ndogo.