Watu washauharibu ili ukatoe hela ya chai ofisinNaona website ya ndege yetu "The Wings Of Kilimanjaro" haifunguki hivyo mtu hawezi kufanya booking;
Msaada tafadhali?
Naona website ya ndege yetu "The Wings Of Kilimanjaro" haifunguki hivyo mtu hawezi kufanya booking;
Msaada tafadhali?
Who cares?Naona wamerekebisha, inafunguka sasa
Naamini wanajua kuwa weekend ni busiest time hivyo, wawe wanachunga wajanja wasichukue hiyo gap