Hizi ili shirika la Air Tanzania limekuwaje?...., mbona sikuhizi mmeota mapembe?....., yaani sikuhizi kwenda airport na kuondoka kwa muda muwafaka nikitu ambacho hakiwezekani....., last week kutoka Mwanza, ndege iliyopaswa kuondoka saa 3:10 usiku siku ya Ijumaa ndege ilichelewa kwa zaidi ya masaa manne...., leo siku ya J'4 ndege ya saa 3:10 usiku tumetangaziwa itachelewa kwa zaidi ya lisaa limoja....., hivi ili shirika tatizo liko wapi?...., au mnavyopata abiria wengi, na vile wapinzani wenu Fast Jet kuzuiwa kufanya biashara nyie ndio mnabweteka?.....
Sio siri mnaboa sana...., wakati mashirika mengine yanahangaika ndege zao ziwe zinasafiri kwa muda nyie mnacheza na abiria kisa hakuna kampuni makini yakusgindana nanyi...., kampuni zinazuiwa na kuletewa figisu figisu...., sasa badala nyie mjitahidi mnaleta makuzi..... MUHESHIMIWA RAIS TUNAKUOMBA ULIMULIKE SHIRIKA ILI ISIJEKUWA UNAHUJUMIWA BILA YA KUJIJUA....., haya ndio yale mambo ya kutaka kwenda kuipaka rangi ndege nje ya nchi kwa mamilion......
INAKERA SANA......