Air Jordan Sneakers

Air Jordan Sneakers

Han Solo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
462
Reaction score
1,079
Wanajamvi,
Wapi naweza pata hivi viatu kwa Dar es salaam?
Screenshot_20201115-005825_Instagram.jpg
 
Kariakoo sidhani kama utakosa wasiwasi wangu vinaweza kua copy ya mchina.
 
Vingi ni copy ya Mchina ukileta original utawauzia wachache ni ghali sana.karibu 500,000 Tsh-600,000.
 

Attachments

  • BFC7C5C5-81E7-4244-AE2B-6875EE00B385.png
    BFC7C5C5-81E7-4244-AE2B-6875EE00B385.png
    42.7 KB · Views: 12
Midosho ile, baada ya mwezi tu halitamaniki.
Og yenyewe inaenda hadi laki 3, na copy yake huwa inauzwa kwa laki na nusu.
Hiyo ya huyo david, sijui hata niiweke kundi gani maana hata hadhi ya copy haina
Mtafute jamaa anaitwa David sports wear anavyo anauza Tsh 35,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom