hilo shirika niliwahi sikia ndege zao zina mende vipi AC ilikuwa inafanya kazi??
Maria hivi haujapanda zile ndege zao mbili mpya walizoleta
Daah, ndege zao zina kelele kwa ndani, hata screen za movie/radar hazifanyi kazi. Halafu yule rubani sijui vipi, yaani ndege inayumba safari yote, kama una roho nyepesi unaweza kuwaambia wakushushe!
Ukitaka jambo hili lifanyiwe kazi, weka tarehe uliyosafiri na Flight No ya ndege hiyo hapa, au kwenye suggestion Box zao ..Nakuhakikishia watashughulikiwa mara moja!JAMANI MIMI NILIKUWA NASAFIRI TOKA DAR KWENDA KENYA SOMETIMES LAST WEEK, NA SHIRIKA LA NDEGE LINALOANZA NA P. JANAMI HAO MA AIR HOSTESS WAKO OVYO SANA, WANAJIONA NI MORE IMPORTANT THAN THE PASSENGERS! THIS IS UNREALLY! THEY DONT SMILE, THEY DONT HELP THE PASSENGERS WITH THE BAGS! YAANI KUNA BIBI KAINGIA NA WHEEL CHAIR HAKUNA ALIYEMSAIDIA HATA KUTOKA KWENYE NDEGE! THE : XAMS TREE AIR HOSTESS: THEY WERE JUST STANDING THERE DOING NOTHING! SO MIMI NILIMSAIDAI YULE BIBI KUTOKA NDANI YA NGEGE! YAANI HATA SEATBELT HAWAKUJALI KUMSAIDIA KUFUNGUA! THEIR CUSTOMER CARE IS ZERO! i MINE MINUS ZERO! NILICHUKUA NDEGE NA kENYA AIRWAYS! OMG THE AIRHOSTESS WALIKUWA SO CAREING AND HELPING EVEN SMILING ALL THE WAY!, JAMANI WATZ HAMKENI!::crying:
Thanks, nilidhani ni rubani au ndege, kwa maana hiyo ilikuwa from Dar to Nairobi, na muda mfupi baadaye nilipounganisha Kenya Airways from Nai to Mumbai, sikuhisi hiyo Turbulence as it had been with Precision Awys. The same situation sikuwahi kuiface with Qatar Airways na Emirates miaka ya nyuma!Turbulence ni kitu cha kawaida. Kama unataka ku-overcome turbulence ndogo basi panda A380, ambazo nazo si chochote mbele ya turbulence kubwa.
jamani mimi nilikuwa nasafiri toka dar kwenda kenya sometimes last week, na shirika la ndege linaloanza na p. Janami hao ma air hostess wako ovyo sana, wanajiona ni more important than the passengers! This is unreally! They dont smile, they dont help the passengers with the bags! Yaani kuna bibi kaingia na wheel chair hakuna aliyemsaidia hata kutoka kwenye ndege! The : Xams tree air hostess: They were just standing there doing nothing! So mimi nilimsaidai yule bibi kutoka ndani ya ngege! Yaani hata seatbelt hawakujali kumsaidia kufungua! Their customer care is zero! I mine minus zero! Nilichukua ndege na kenya airways! Omg the airhostess walikuwa so careing and helping even smiling all the way!, jamani watz hamkeni!::crying:
JAMANI MIMI NILIKUWA NASAFIRI TOKA DAR KWENDA KENYA SOMETIMES LAST WEEK, NA SHIRIKA LA NDEGE LINALOANZA NA P. JANAMI HAO MA AIR HOSTESS WAKO OVYO SANA, WANAJIONA NI MORE IMPORTANT THAN THE PASSENGERS! THIS IS UNREALLY! THEY DONT SMILE, THEY DONT HELP THE PASSENGERS WITH THE BAGS! YAANI KUNA BIBI KAINGIA NA WHEEL CHAIR HAKUNA ALIYEMSAIDIA HATA KUTOKA KWENYE NDEGE! THE : XAMS TREE AIR HOSTESS: THEY WERE JUST STANDING THERE DOING NOTHING! SO MIMI NILIMSAIDAI YULE BIBI KUTOKA NDANI YA NGEGE! YAANI HATA SEATBELT HAWAKUJALI KUMSAIDIA KUFUNGUA! THEIR CUSTOMER CARE IS ZERO! i MINE MINUS ZERO! NILICHUKUA NDEGE NA kENYA AIRWAYS! OMG THE AIRHOSTESS WALIKUWA SO CAREING AND HELPING EVEN SMILING ALL THE WAY!, JAMANI WATZ HAMKENI!::crying: