Air Compressor Inahitajika - USED

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
668
Reaction score
159
Habari wadau.

Nahitaji Air Compressor yenye specification zifuatazo:

1. Iwe na Piston mbili au zaidi.
2. Iwe na motor ya three phase
3. Storage Tank Size - 250L au zaidi.
4. Pressure - 220 PSI au zaidi.
5. In good wring condition.

Mwenye nayo anipatie bei through PM then tutawasiliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…