Air Burundi Wanunua Ndege Mpya kutoka kiwandani

Mkora

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
370
225

artfichier_417104_1010154_201206271404444.jpgThe Burundi national flag carrier has just taken delivery of its first of two Xian MA60s, that the airline ordered last year. The plane is scheduled to land in Bujumbura, the capital of Burundi, on 28 June, few days before the 50th anniversary of the independence.

Mr. Melchior Nahimana, managing director of Air Burundi, has in a speech at the ceremony, thanked the Chinese government and the Burundi government who have given substantial supports to the introduction of MA60.

With this new plane, Air Burundi will resume flights to regional destinations such as Rwanda, Kenya or Uganda. The next step for the airline will be the privatization.

About the Xian MA60 :

MA60 is a turboprop-powered airliner made by Xi'an Aircraft International Corporation. It is the only Chinese-made civil aircraft that has access to both domestic and international aviation markets.

The MA60 series have already completed more than 150 thousand total movements, and more than 150 thousand flying hours. After years of technology improving and performance optimizing, the safety, comfort and economic efficiency of MA60 have been receiving constant recognitions from domestic and international customers.

As a result, MA60's market share has been gradually expanding. With more than 20 customers, XAIC has delivered over 70 MA60s that are operating more than 200 flight routes spreading over Africa, Latin America, South Eastern Asia and the post-Soviet states.

My take
Wakati sisi tunaendeleza Mwakabima na mwaka wizara ya uchukuzi
Na hawa Fast jet welivyowashika pabaya ndio basi tena ushikaji umeharibu kila kitu
 
Chaimaharage

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
211
0
mkuu nlidhani boeng au jet

Ndege ni ndege hata kama ni Caravan..Air Tanzania wanayo? kama siyo kukodisha. Watanzania mnatabia ya kupenda vitu vikubwa wakati hata vidogo hamna. Wewe hapo mtu akikuuliza una gari mwenzio akakuonyesha la kwake Toyota Corolla utamjibu "Nilidhani ni Hummer!" wakati hata baiskeli huna. Funguka akili acha akili mgando za kuponda bila kujua mleta thread/uzi ana hoja gani ya msingi. Wewe gamba nini? make tumewazoea na uwezo wenu finyu wa kufikiri.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,824
2,000
Na kuna tabia mbaya kila kitu tunakuwa nacho utasikia hakuna kama hiki South of Sahara...yaani kila kitu,Radar,madaraja kama Mkapa,hata wakati wanafungua Billicanas walisema hivyo,uwanja wa Taifa Mpya...Kivuko cha Kigamboni!!!Misifa imetujaa kwenye vitu vya kawaida kabisa
 
Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
1,250
Ndege ni ndege hata kama ni Caravan..Air Tanzania wanayo? kama siyo kukodisha. Watanzania mnatabia ya kupenda vitu vikubwa wakati hata vidogo hamna. Wewe hapo mtu akikuuliza una gari mwenzio akakuonyesha la kwake Toyota Corolla utamjibu "Nilidhani ni Hummer!" wakati hata baiskeli huna. Funguka akili acha akili mgando za kuponda bila kujua mleta thread/uzi ana hoja gani ya msingi. Wewe gamba nini? make tumewazoea na uwezo wenu finyu wa kufikiri.
Mkuu, umenikuna sana. Hii ndiyo tabia ya magamba. Bila kuyaondoa (siyo kuvua) tutaendelea na longolongo hizihizi wakati wenzetu wanaendelea kuchanja mbuga. Nakumbuka Mzee Shirima wa Precision Air kama sikosei alianza na ndege ndogo kabisa ya abiria wasiozidi 10 na route zake zilikuwa za kupeleka watalii mbugani. Lakini leo hii anarusha boeing 737-200.
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,943
1,500

Mkuu umekandamiza kwelikweli. Ignorance is our first enemy-hata tukienda shule bado mfumo wetu waelimu unaonekana kutotufungua macho vilivyo.
 
Domy

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
4,700
2,000
Injini yetu iko italy bana!....Muulizeni JK ambaye alitoa ahadi ya kujenga viwanja vikubwa wakati hata Ndege hana..,JK bana kiboko.
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,703
2,000
Mkuu, umenikuna sana. Hii ndiyo tabia ya magamba. Bila kuyaondoa (siyo kuvua) tutaendelea na longolongo hizihizi wakati wenzetu wanaendelea kuchanja mbuga. Nakumbuka Mzee Shirima wa Precision Air kama sikosei alianza na ndege ndogo kabisa ya abiria wasiozidi 10 na route zake zilikuwa za kupeleka watalii mbugani. Lakini leo hii anarusha boeing 737-200.
Sikusudii kubeza juhudi za Shirima huko Precision, lakini huko Mramba pia aliwabeba kifisadi. Hawakufikia walipo kwa juhudi zao tu, mengi yatakuja julikana tukiwaondoa hawa majambazi madarakani. Umewahi kujiuliza kwanini tulitumia pesa inayotosha kununua ndege kubwa mpya kukodi Airbus mbovu?
 
THE GAME

JF-Expert Member
May 30, 2010
618
500
magamba hawana jipya zaidi ya kutufisadi.wanasema wanafufua air tanzania huku wanatuletea fastjet kwa bei ya bure..sasa kweli hapa kuna uzalendo au kuzidi kuua airtanzania.pia fastjet kwa taarifa nilizonazo wamekataliwa kibali kenya na uganda..hapa tanzania wamekubaliwa.why tanzania?
 
Loy MX

JF-Expert Member
Mar 26, 2012
1,253
1,500
kuna mijitu inakera sana we unaponda Air Tanzania wana yo kama hiyo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom