Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

Pia mpenzi msaliti
 
tuletee na wa faida ili tujue tofauti

asante mkuu nasubiri
 
Mpenzi mchomamoto: huyu yeye hana kosa kubwa wala dogo lolote utakalomfanyia kwake kubwa na hukumu yake ni moja kukushushia jahanamu ukiwa hapa duniani hope mshawashuhudia aina hii wiki kadhaa hapo nyuma
🤣🤣🤣 Kweli kabisa nao wapo
 
Si afadhali hao hapo juu!! Umewahi kuyana na mupenzi wa morogoro??? Yaani yule anatamani akutoe sadaka kwa misukule ya kwao....

Mpenzi jackie marere huyu bana yeye anakutafutia majambazi kabisaa eitha wakufanye nyuma au ufe.upotee!! Amesha achwa mara kibao na hsoni taabu kiolewa tena..
na huyu jamaa yake wa sasa sijui km atapona...au tayari make. Simuoni
 
5,6,7 hao ndio wapenzi waliotuzunguka sana mtaani! Katika watu 100 hapa jf watu 80 likely wapenzi wao wanaangukia kwenye hizo namna 3 kuu!
 
Dah hatari sana.
 
Hii number saba ni wewe mwenyewe una mfikiria vibaya wengine wako ivo ivo tu!!
Unataka mtu awe km unavotaka no!!! wewe ndo mwenye gubu... Kwa nini usimfundishe
 
Hii number saba ni wewe mwenyewe una mfikiria vibaya wengine wako ivo ivo tu!!
Unataka mtu awe km unavotaka no!!! wewe ndo mwenye gubu... Kwa nini usimfundishe
Dah mimi tena ndo nipo hivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…