Aina za vitambi vya wabongo

hehehhehehehhehehehe....uwiii
 
Judgement hivi kwanini nakuonaga kama una boonge la bifu na Bishanga
ni kama kakuchukulia nanihiii yako vile
au nini hasa,
kama vipi mseme maombi yafanyike kwa ajili yenu.

Ni kwl obviously mimi kiukweli hua sikosagi bifu na pipo zilizochoka kifikra kama Bishanga.
 
Last edited by a moderator:
Dah nna kakitambi flani hivi mchomozo km baba ubaya
 

mic u my cwt sisy
 
Last edited by a moderator:
Mi Najua vtambi vya aina hii
1:Kinacho anzia Katkat ya tumbo na kifua- hv huwatoka sana makuli na watu wanao beba vtu vzto. Hawa hupeleka menu balaa tupu pia niwepesi kwa kuogelea na nibalaa kwa kukoloma.
2: Mchongoko ni kama bamia, malanyingi huwa wembamba, hawa wengi ni walev tena hawachagui aina ya pombe zote wao wanakunywa ilimlad inalewesha,
3: Kinacho anzia mbavuni- hawa ni walafi, asikumbuke kama kunachakula huyo! Ni waoga wanjaa, huwatokea sana wadada,
4: Kinacho anzia chini ya maziwa, hawa ni alaliyao kwani wengi ni wanene kiasili, wananguvu na wabunifu, mafanikio ni alali yao, wakiwa na mazoezi huwa shapu sana.
 
Pia kuna kitambi kama cha watu8, sijui kinasababishwa na nini?

Cha kwangu ni kitambi mshtukizo yaani kinaibuka nikizamia minuso ya watu yaani kinakuwa ndii hadi kupumua inakuwa kero
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…