Aina za Ugali

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
464
Tembea uya one. “sio nyumba zilizo pandiana hapana ni maghorofa.”

Hivi kumbe kuna Ugali wa nazi ? Yani ugali umepikwa kwa nazi ? Aise ! Jana nili ula huu ugali. Nimeamua huu ndio Ugali wangu kwanzia leo labda niende sehemu haupo ila nikiwa kwangu ni ugali nazi tu!

Kama kuna aina nyingine tupeane si mbaya tukipata na shule yake kidogo tu! Maanake watu wengi hawapendi ugali labda kwa sababu yaku kinai aina hio hio moja ya DONA au SEMBE au MHOGO.

Karibu!
 
Me nilienda sehemu nikakuta ugali wa maziwa mtindi sijui waliusongaje ule
Ukiula na ile chachu kidogo si mchezo halafu pembeni ukute ni mboga ya samaki au kabichi
 
Me nilienda sehemu nikakuta ugali wa maziwa mtindi sijui waliusongaje ule
Ukiula na ile chachu kidogo si mchezo halafu pembeni ukute ni mboga ya samaki au kabichi

Hatari sana sajala huo . Labda niufumanie.
 
Ugali wa mchele, yaan mchele ukasagwa af ule unga ndo ukapika ugali,, hata mboga huitaj nahs huu unawafaa wapare wanaokula ugali na picja ya samaki
 
huo upo mkuu pia kuna chai ya nazi ni nzuri kuliko ya maziwa ila UJITAHIDIKUFANYA MAZOEZI ULAPO MILO HIYO YA NAZI KUEPUKA PRESHA NA KISUKARI KWAKUA NAZI INA CHOLESTERAL NYINGI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…