Aina za Ndoa

Aina za Ndoa

Ok, Ndoa ya serikali hairuhusu ila inatazamiwa kuwa ya wake wengi, yaani hakuna popote inaporuhusu ila "Inatazamiwa"

ila hapa siyo lazima mume aoe mke zaidi ya mmoja, inategemeana, wengi wanaipenda kutoka na haina gharama kubwa wala c time consuming, ni kama ya wenzetu wa kiislamu kwa upande huo.

Na kweli aiseee maana nilimpeleka ndugu yangu kufunga ndoa ya serikali ndani ya dakika 10 ikawa tayari ndoa imeishafungwa
 
Ok, Ndoa ya serikali hairuhusu ila inatazamiwa kuwa ya wake wengi, yaani hakuna popote inaporuhusu ila "Inatazamiwa"

ila hapa siyo lazima mume aoe mke zaidi ya mmoja, inategemeana, wengi wanaipenda kutoka na haina gharama kubwa wala c time consuming, ni kama ya wenzetu wa kiislamu kwa upande huo.

Hata ya kikristo haina gharama wala usumbufu wowote alimradi vigezo vikidhi,watu wenyewe ndo wanapenda complication ruksa kabisa wewe na mwenzi wako na wasimamizi mnaenda kwa padre au mchungaji na kufunga ndoa,na ndoa zote zinahitaji siku 21 la tangazo la ndoa,sijui kwa upande wa ndoa za kimila hili linakuwaje?
 
Ok, Ndoa ya serikali hairuhusu ila inatazamiwa kuwa ya wake wengi, yaani hakuna popote inaporuhusu ila "Inatazamiwa"

ila hapa siyo lazima mume aoe mke zaidi ya mmoja, inategemeana, wengi wanaipenda kutoka na haina gharama kubwa wala c time consuming, ni kama ya wenzetu wa kiislamu kwa upande huo.

Kuhusu ndoa ya Seriklai kuruhusu au kutoruhusu wake wengi, inatagemea na ninyi manoingia kwenye ndoa kama mtakubaliana kuwa ni ya wake wengi. Kumbuka kuwa vyeti vinavyotolewa ni vile vile vinavyotolewa na madhehebu ya Kikristu, sasa kwa kuwa hayaruhusu wake wengi, vipengele vinayoonyesha options za aina ya ndoa, hufutwa na kuacha kipengele cha mke mmoja, lakini kama mtafunga kwa DC maweza kumwambia asifute vile vipengele vya ..wake wengi, huenda ikawa ya wake wengi.....Mimi napendelea ndoa ya kimila hasa kutoka kwao charminglady. Lakini kule wanafunga ndoa mbili kwa wakati mmoja kimila na kidini
 
Nina tatizo tena si dogo

Maelezo yake ndo hayo niliyo-bold, ukisoma hapo juu na maana yake kwa hayo ya chini, ila kuna nyongeza kuwa, ikiwa imethibitika kuwa mke na mume wameishi kuanzia miaka miwili na kuendelea basi mke/mume kila mmoja atakuwa na haki
 
Kuhusu ndoa ya Seriklai kuruhusu au kutoruhusu wake wengi, inatagemea na ninyi manoingia kwenye ndoa kama mtakubaliana kuwa ni ya wake wengi. Kumbuka kuwa vyeti vinavyotolewa ni vile vile vinavyotolewa na madhehebu ya Kikristu, sasa kwa kuwa hayaruhusu wake wengi, vipengele vinayoonyesha options za aina ya ndoa, hufutwa na kuacha kipengele cha mke mmoja, lakini kama mtafunga kwa DC maweza kumwambia asifute vile vipengele vya ..wake wengi, huenda ikawa ya wake wengi.....Mimi napendelea ndoa ya kimila hasa kutoka kwao charminglady. Lakini kule wanafunga ndoa mbili kwa wakati mmoja kimila na kidini

Mkuu ni kweli
 
Kwa wadada wa usasa wanapenda sana sherehe kubwa sana wakati wa ndoa, wanataka kuwaridhisha wazazi, au kuwapiku ndugu, jamaa na marafiki zao, sasa ndo maana unakuta ndoa kama ya kiislamu inagharimu c zaidi ya laki 5-7 lakini wakristu wanapenda sana ufahari unakuta mmeingia kwenye mikopo mingi ili kuwaridhisha watu.
 
Ni ujinga na ulimbukeni tu,mtu wa aina hiyo muulize anataka ndoa au harusi? Mim nakumbuka yangu kwakweli sikutaka hata sherehe ila ndugu ndo walishinikiza sana hilo coz wote tumekutana lastborn basi kila mmoja alikuwa na usongo na ndoa yetu.

tulichokifanya na mwenzangu coz wote hatukutaka mambo makubwa,nilimbana sana mwenzangu ile miezi kama 8 ya kuandaa michakato tulijitahidi tukanunua kiwanja tukaanza ujenzi tukachagua raman simple but good tukajibana mpka tukahakikisha tumepaua kisha kama bado miezi 3 tukaanza vikao wakati huo tayari ndoa ishaandikwa kanisani,kamati ilikuwa ya watu 7 tu,mm,mwenzangu,kaka na mkewe hubby,best friends 2,mm nilikataa sendoff nikafanya kitchenparty tu very simple but very nice. Tukajitahidi kwanza kuandaa vitu muhimu vunavyofanya iitwe ndoa kwanza pete kisha nguo tena kashela kangu very simple but good nilikabun mwenyewe,kisha tukatulia tukagawana Majukumu hao wanakamat kisha sisi tukarud kwenye ujenzi tukamalizia finishing bado mwez sisi mambo yetu yakawa yamekamilika kisha tukarudi kuandaa ndoa,tukafunga ndoa na kila kitu kilikuwa njema sana.
 
Nikimpata binti wa aina yako, nitafurahi sana! aliye-simple na anayependa vitu simple? hivi bado wapo kweli?
 
Shukuru Mungu
Manaake hawa wa sikuhizi eti mnaanza na kujenga hamjaoana unaweza achwa?

Yaani una akili km yangu nimekataa kamati...only ndugu wa karibu tu tena wanafanya tunachotaka simple ila wanatushauri pia inapobidi.....kitchen pat/sendoff ipo bt no pombe yaani gharama ndogo sn.....harusi ht sare hatutaki watu wa karibu tu ndo watavaa....gauni nakodisha na kamwili kangu haka simple tu ht laki 3 haifiki....hakuna pombe wayajinunulia wanaotaka nje ya ukumbi....nk .....hata michango no unless ujisikie mambo ya kumaliza sherehe na madeni ctaki
 
Jamani nitampata wapi kama ninyi? unajua tatizo la mabinti wa kisasa ukimwambia kuwa tufanye vitu simple eti anasema "wewe bahili" akhaa! mara ohhh! nitamwahibisha mama yangu!!!! kwa kweli kama bado mpo mabinti wa type hii basi ni wachache sana...na nitumie fursa hii kuwakaribisha....na ninyi mwendelee kubadili mtazamo wa wenzenu.
 
Ndoa zote mtu akiamua kutoa talaka anatoa tu wala hakuna kinachomzuia!

Hata ya kanisani mwanaume/mwanamke akiamua kuwa sikutaki,sasa utafanyaje? kwa sababu unaweza kuweka pingamizi la ndoa yingine lakini bado wakaendelea kuwa pamoja!

Kwa hiyo ndoa zote ni sawa kisheria.
 
Ni ujinga na ulimbukeni tu,mtu wa aina hiyo muulize anataka ndoa au harusi? Mim nakumbuka yangu kwakweli sikutaka hata sherehe ila ndugu ndo walishinikiza sana hilo coz wote tumekutana lastborn basi kila mmoja alikuwa na usongo na ndoa yetu.

tulichokifanya na mwenzangu coz wote hatukutaka mambo makubwa,nilimbana sana mwenzangu ile miezi kama 8 ya kuandaa michakato tulijitahidi tukanunua kiwanja tukaanza ujenzi tukachagua raman simple but good tukajibana mpka tukahakikisha tumepaua kisha kama bado miezi 3 tukaanza vikao wakati huo tayari ndoa ishaandikwa kanisani,kamati ilikuwa ya watu 7 tu,mm,mwenzangu,kaka na mkewe hubby,best friends 2,mm nilikataa sendoff nikafanya kitchenparty tu very simple but very nice. Tukajitahidi kwanza kuandaa vitu muhimu vunavyofanya iitwe ndoa kwanza pete kisha nguo tena kashela kangu very simple but good nilikabun mwenyewe,kisha tukatulia tukagawana Majukumu hao wanakamat kisha sisi tukarud kwenye ujenzi tukamalizia finishing bado mwez sisi mambo yetu yakawa yamekamilika kisha tukarudi kuandaa ndoa,tukafunga ndoa na kila kitu kilikuwa njema sana.

Nimeipenda hiyo ndoa yako mlivyo if anya rahisi huku mkifanya mambo muhimu.
 
Shukuru Mungu
Manaake hawa wa sikuhizi eti mnaanza na kujenga hamjaoana unaweza achwa?

Yaani una akili km yangu nimekataa kamati...only ndugu wa karibu tu tena wanafanya tunachotaka simple ila wanatushauri pia inapobidi.....kitchen pat/sendoff ipo bt no pombe yaani gharama ndogo sn.....harusi ht sare hatutaki watu wa karibu tu ndo watavaa....gauni nakodisha na kamwili kangu haka simple tu ht laki 3 haifiki....hakuna pombe wayajinunulia wanaotaka nje ya ukumbi....nk .....hata michango no unless ujisikie mambo ya kumaliza sherehe na madeni ctaki

Namshukuru Mungu sana kila nifikiriapo lakini hata hivyo My dear unafikir ningewekeza na mtu ambaye haelekei? Niliona kuna mwelekeo na pia hubby alikuwa muwazi sana kwangu na nilikuwa naona pesa anayo but management ndo hakuna maana enzi hizo tulikuwa tunakula bata si mchezo,basi nikaona bora tuache ujinga tufanye mambo ya maana.Mi kitchen party ndo kulikuwa no michango.

Hongera sana Mungu akutangulie kila jambo lifanikiwe
 
Ok, Ndoa ya serikali hairuhusu ila inatazamiwa kuwa ya wake wengi, yaani hakuna popote inaporuhusu ila "Inatazamiwa"

ila hapa siyo lazima mume aoe mke zaidi ya mmoja, inategemeana, wengi wanaipenda kutoka na haina gharama kubwa wala c time consuming, ni kama ya wenzetu wa kiislamu kwa upande huo.
Mbona hata ya kikristo haina gharama na si time consuming, kinachofanyika ni mapokeo tu ya watu ndio wanafanya complication ukiacha labda tangazo la ndoa ambalo hata kwenye ndoa ya serikali napo lipo though sina uhakika
 
Ni ujinga na ulimbukeni tu,mtu wa aina hiyo muulize anataka ndoa au harusi? Mim nakumbuka yangu kwakweli sikutaka hata sherehe ila ndugu ndo walishinikiza sana hilo coz wote tumekutana lastborn basi kila mmoja alikuwa na usongo na ndoa yetu.

tulichokifanya na mwenzangu coz wote hatukutaka mambo makubwa,nilimbana sana mwenzangu ile miezi kama 8 ya kuandaa michakato tulijitahidi tukanunua kiwanja tukaanza ujenzi tukachagua raman simple but good tukajibana mpka tukahakikisha tumepaua kisha kama bado miezi 3 tukaanza vikao wakati huo tayari ndoa ishaandikwa kanisani,kamati ilikuwa ya watu 7 tu,mm,mwenzangu,kaka na mkewe hubby,best friends 2,mm nilikataa sendoff nikafanya kitchenparty tu very simple but very nice. Tukajitahidi kwanza kuandaa vitu muhimu vunavyofanya iitwe ndoa kwanza pete kisha nguo tena kashela kangu very simple but good nilikabun mwenyewe,kisha tukatulia tukagawana Majukumu hao wanakamat kisha sisi tukarud kwenye ujenzi tukamalizia finishing bado mwez sisi mambo yetu yakawa yamekamilika kisha tukarudi kuandaa ndoa,tukafunga ndoa na kila kitu kilikuwa njema sana.

Hii safi hii,nitafanya kama wewe,kitu cha muhimu sana katika ndoa ni Mungu ahusike! Then mengine ni kusimplify tu.
 
Back
Top Bottom