Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 14,960
- 21,048
Aliyekwambia mwanamke kwa nchi zetu, kuwa si maendeleo ni nani? Kuwaza mwanamke ni kuwaza maendeleo.Ungeelekeza kwa picha somo lingeeleweka sana mkuu.
Utapata kazi, utapata nyumba/pesa bila mwanamke utasema umeendelea?
Hivi Tz hapa kweli tunafikiria vitu vya maendeleo?
,hakipendwi na wanawake wengi kasoro mimi.....
