K Kichwa Ndio Mtu JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 3,079 Reaction score 1,719 Jan 24, 2014 #1 Mwanafunzi akaulizwa "taja aina nne ya madini yanayopatikana Tanzania" Mwanafunz akajibu" malokole,makatoliki,masabato na maislam"
Mwanafunzi akaulizwa "taja aina nne ya madini yanayopatikana Tanzania" Mwanafunz akajibu" malokole,makatoliki,masabato na maislam"
BUCHANAGANDE JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 1,512 Reaction score 482 Jan 25, 2014 #2 maanglican, mapentecoste, mashia na maasembliz.
tycoonff JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 928 Reaction score 1,310 Jan 26, 2014 #3 Mwalimu akajibu safi sanaaa mpongezeni, subiria division 5.
J Jak de holysinner New Member Joined Jan 26, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Jan 26, 2014 #4 Safi sawa mwanafunz mjanja