Aina za ma-single halafu wanahisi wako kwenye relationship

fatherhood

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
530
551
Habari JF

-Mpaka utakapooa ama kuolewa, vinginevyo ni bado upo SINGLE !

1. Tumechumbiana kwa kuvalishana pete (wewe ni single tu).

2. Ninaishi nae nyumba moja (bado wewe ni singo).

3. Tupo pamoja mwaka wa nane huu (Wewe ni Super singo)

4. Nimemchukulia Mkopo kwa jina langu (very stupidi singo).

5. Nawasiliana na mama yake, ananipigia na mimi nampigia (Karagabao).

6. Ninaishi kwake (hongera kwa kujisogeza lakini wewe bado ni singo).

7. Nimezaa nae mtoto, ndiye baba/mama wa mtoto wangu lakini bado hatujaoana (Hongera kwa collaboration, lakini bado ni Double singo)

8. Ananiweka katika Posts na Status na anatumia picha yangu kwenye Dp yake (wewe ni Singo wa kiwango cha first class).

9. Hua naenda kumfulia, kumpigia pasi, kufanya usafi na kumpikia na yeye hua anakuja kwetu (end of discussion wewe ni singo mchuchumio).

10. Mmeoana lakini mnalala mzungu wa nne ama vyumba tofauti ama hakuna linaloeleweka (Single but married)
 
Habar jf

-Mpaka utakapooa ama kuolewa, vinginevyo ni bado upo SINGLE !

Usisahau kuna waliooana, wanalala chumba kimoja, kitanda kimoja, ila ni mwezi wa nne huu hakuna kilichofanyika hawa nao tuwaweke tu kwenye kundi la ma singo but married
 
Wengne tupo namba 1000 ile ambayo ni masta single yaani ukija geto soksi ndio dodoki ,,Sufuria 1 linapika chai,ugali,wali,pilau, n.k kuna tusabuni twingiii twa kupigia nyeto yaani raha jipe mwenyewe
Unahitajika kituo cha kati kutolew ushahid maneno yako uliotoa!haiwezkan iwaseme ivo single pro max
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom