Aina za laana

Ulizo taja ni combination ya choices, mazingira, na mindset, ukiweza kuvi-control hivyo vitu, hata bila vita ya kiroho maisha yako yatabadilika na kuanza kunyooka.

Kiufupi, badilisha unavyofikiri, unavyoishi, na unavyo chagua utaona laana nyingi ulizo zitaja hazinaga real impact.
 
Achana na sisi shee!
 
Hakuna laana, ni uwezo wa mtu tu au juhudi zake plus resources hukomea hapo alipo.
 
Laana kwa sisi tulivyofundishwa ni kutolewa na kuwekwa kando na rehma ya Mwenyezi Mungu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…