Aina za laana

Tunaanza ngazi ya familia mpaka ya dini! Ya nchi hata ukiachana nayo maana tumelaanika wote🤣
Sanasana tunaweza kupooza tu maana roho la laana likishazaliwa mahali kuisha kwakwe ni mpaka vizazi vitatu au vine
Ndio maana maandiko matakatifu yanasema.. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao wa kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao....
 
Hiyo "Generation curse" ni hatari mkuu!
Kuna familia zina laana hiyo, unakuta familia wakifika miaka 40-50 wanadata, kujiua, kuua n.k 😁
Familia umasikini na wao ni pete na chanda, visa, mikasa ni vya kwao.
Kuna familia ukioa tuu, mikasa inaanza!
😁
 
Sanasana tunaweza kupooza tu maana roho la laana likishazaliwa mahali kuisha kwakwe ni mpaka vizazi vitatu au vine
Ndio maana maandiko matakatifu yanasema.. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao wa kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao....
bali nawarehemu maelfu elfu wanipendao na kuzishika amri zangu…Tuachane ya dini maana kwetu tunampenda Mungu, tuanze ngazi ya familia🥲
 
Kuna familia zina laana ya asili | Page 31 | JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili
 
Kuna familia moja kabila X, kanda ya ziwa, bibi yao alikuwa mwanga. Ukipata kikazi ukajifanya unaenda kusalimia maskani, ukirudi mjini unadedi! 😁
Ilibidi wafanye mbinu ya kuua kikongwe, ndio pakatulia. 😁
 
bali nawarehemu maelfu elfu wanipendao na kuzishika amri zangu…Tuachane ya dini maana kwetu tunampenda Mungu, tuanze ngazi ya familia🥲
Inaangukia pale pale kwenye vizazi kupitia vizalia (DNA) ndio maana zamani wazee wakishastuka hufanya diffusion kwa kutengeneza ndoa mpya na familia za mbali na ukoo husika
 
Oohh kumbee🤔 laana inafifia?
 
Kuna familia moja kabila X, kanda ya ziwa, bibi yao alikuwa mwanga. Ukipata kikazi ukajifanya unaenda kusalimia maskani, ukirudi mjini unadedi! 😁
Ilibidi wafanye mbinu ya kuua kikongwe, ndio pakatulia. 😁
Hapo waling"oa shina ndio maana ikaisha.. Yaani walikata mawasiliano
 
Laana ni dhana iliyo ibuliwa na wazazi wavivu wasio wajibika kwa vizazi vyao , dalili moja wapo ya mzazi aliye feli malisha neno laana halikauki mdomoni mwake
 
Inaangukia pale pale kwenye vizazi kupitia vizalia (DNA) ndio maana zamani wazee wakishastuka hufanya diffusion kwa kutengeneza ndoa mpya na familia za mbali na ukoo husika

Hii ni fact! Japo kuna watu watakuja kusema hatujastaarabika; bado ni ignorant na tunakumbatia ujima!

Mimi nawaaamini wazee, wana mambo mazuri ya faida sana!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…