BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Daaah nimesahau kidogo, kulikuwa na jamaa mmoja amewahi kuwa mkuu wa uvuvi TZ kitambo, yaani alikuwa anawajua samaki wote wa vidimbwi, mabwawa, mito, maziwa na bahari za TZ kwa majina, idadi, umri na idadi ya mayai yao.Wakuu,
Nahitaji kufahamu aina ya samaki wanaopatikana bahari ya hindi, ambao nikienda Ferry nina uhakika nitapawapata kwa wingi.
Msaada wakuu
chewaWakuu,
Nahitaji kufahamu aina ya samaki wanaopatikana bahari ya hindi, ambao nikienda Ferry nina uhakika nitapawapata kwa wingi.
Msaada wakuu
Kama mfuko mzuri
piga1. kole kole .(jipange)
2.changu na changu doa(jipange)
3.Tasi na tasi mwamba.
4.Nguru(jipange)
5.Panje
6.Taa aina zote japo wengi sio watamu.
7.Mkundaji
8.Kikande.
9.Kuku bahari.
10.Vibua.
11.Saladin
12.Jodari(jipange)
13Pweza(jipange)
14Ngisi hasa ngisi gome(jipange)
15.Baracuda -Nzia
16.Sehewa -kwa pilau hawa!
17.Chuchunge
18.Vipepeo.
19.Nyenga(jamii ya taa wadogo wenye mikia ya sumu)
20.Bunju mtamu but be careful so poisonous ukimkosea imekula kwako
21.Bunju miba-bolingo huyu hana noma unamlampaka matako yake
22.Saleh -samaki mmoja mtamu sana
23.Mboo ya mvuvi au wahindi wanamwita bumla mtamu sana ila sura yake unaweza kutishia watoto
Ukitaka zaidi nisuv8ri nikimaliza kula daku saa 10 alfajr
Kilo/ndoo/idadi?mkuu vibua wanauzaje hapo ferry.. kwa kg au idadi ya samaki? na ni pesa ngapi?
Ndo bei gaan mzee mfano nikihitaji King fish?Samaki feri bei mbaya labda ununue dagaa mchele hao wanashikika.
Siko ferry mkuu ila mtu wa pwani najua samaki asilimia 90mkuu vibua wanauzaje hapo ferry.. kwa kg au idadi ya samaki? na ni pesa ngapi?
Hujampata jamaa? . Nilikiwa nasubir hapa mrejesho.Ngoja nikutafutie contact za jamaa fulani hivi
SapalalaWakuu,
Nahitaji kufahamu aina ya samaki wanaopatikana bahari ya hindi, ambao nikienda Ferry nina uhakika nitapawapata kwa wingi.
Msaada wakuu
Huyu samaki anaitwaje?Siko ferry mkuu ila mtu wa pwani najua samaki asilimia 90