Aina ya mwanamke mpumbavu

Uzi umekosa wigo wa kujadiliwa kwa hiyo namba 7, kila mtu anashangaa hiyo namba 7, nyengn zote zimetupwa
 
no 7. kwa hiyo hata sie tunaosoma mambo mazuri kutoka mtandao wa JF na kuyafanyia kazi ni wapumbavuuuuuu [emoji1787] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
7:Mwanamke anaeenda kwenye mitandao kuangalia mapishi ili aje akupikie wewe mume wake huyo ni MPUMBAVU.. Upumbavu wake nini sasa apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…