EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
bado natafakari authenticity ya hii point....7:Mwanamke anaeenda kwenye mitandao kuangalia mapishi ili aje akupikie wewe mume wake huyo ni MPUMBAVU.
7 unawaonea tu,kwan ubaya?Nawe mtoa mada ni mpumbavu pia😁1:Anaevaa sketi fupi alafu akifika mbele za watu anahangaika kuishusha huyo ni MPUMBAVU.
2:Anaeweka kucha bandia nywele bandia kope bandia na anaejichubua wote ni WAPUMBAVU.
3: Anaesaliti ndoa yake nakwenda kwa mchepuko kwakigezo cha pesa huyo ni mwanamke MPUMBAVU.
4: Anaetoa siri za mume wake mbele ya mashoga zake Huyo ni MPUMBAVU.
5: Anaekimbia ndoa yake kwakigezo cha ugumu wa maisha huyo NIMPUMBAVU.
6:Mwanamke mwenye gubu kwa mume wake kila siku kulalamika bila kutafakari kuwa mwanaume ni nguzo ya familia anapaswa kunyenyekewa huyo ni MPUMBAVU.
7:Mwanamke anaeenda kwenye mitandao kuangalia mapishi ili aje akupikie wewe mume wake huyo ni MPUMBAVU.
8:Mwanamke anaemzarau mumewake nakumjali mchepuko anaempa 20,000 kwa siku huyo ni MPUMBAVU.
9:Mwanamke aliye tayali kutelekeza watoto na familia kwaajili ya mchepuko huyo NIMPUMBAVU..
10: Anaeongeza maziwa na makalio ili aonekane mdogo kimaumbile huyu nae NIMPUMBAVU...
#falsafa
Itaendelea..............
UTAFITI UNAONYESHA KATI YA NDOA 10 NDOA 6 NIZILE ZENYE MIGOGORO MIKUBWA INAYOSABABISHWA NA MWANAMKE MWENYE GUBU NA ASIYESIKILIZA KAULI NA KUMUHESHIMU MUMEWAKE.View attachment 1714477
KWELI NO 7 KACHEMKA TENA SANAAA SIJAONA UPUMBAVU APONo7 umechemka vibaya mnoo...
Kabisa hapa naona yeye amekuwa ndio m........ubado natafakari authenticity ya hii point....
Hapa yeye ndie amekuwa mpumbavuNo7 umechemka vibaya mnoo...
Haina mashiko mwanaume anapenda mkewe awe mjumvi wa mapishi sasa mwanamke kujifunza mapishi nayo ni kosa? Labda angesema mwanamke asiyejua kupika na asiye tayari kujifunza kupika...bado natafakari authenticity ya hii point....
7:Mwanamke anaeenda kwenye mitandao kuangalia mapishi ili aje akupikie wewe mume wake huyo ni MPUMBAVU.
Sidhani hapa kama umetenda haki kumuita mwanamke anayetafiti aina ya mapishi kwenye mitandao kwamba ni nmpumbavu. Huyu ni mwanamke mwerevu anayetaka kujifunza. Hapo jitafakari kidogo maana inawezekana umeleta huu uzi kwa hasira ya uliyofanyiwa na hawa wanawake.
1:Anaevaa sketi fupi alafu akifika mbele za watu anahangaika kuishusha huyo ni MPUMBAVU.