Life is crazy brother. Kuna mtu keshanunua hizo plot kajenga, kajiendeleza na ana pesa mbaya. He doesn't need kupikiwa wala kushauriwa. All he needs is a beautiful woman.
Mwingine kampendea "behind" tu mkewe mwingine just a smile. Mwingine hana hata huo muda wa kutegemea hizo heshima.
Mfano msichana anayetafutwa na Roma Abromavich ni ushauri gani huyo billionea atatafuta kwake kwa mfano? He doesn't need a cook, he doesn't a house keeper. he has lots of those. Wengine hata hawahitaji watoto wanao wa kutosha na walezi wa watoto wako!
My point is, sometimes we all don't look at set of common things in women we marry and point two is every person is just who they r, take it or leave it!
Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama Miss Utalii na Makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi...Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX
Ndo maana utashangaa kusikia Mr X amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa demu wa 'kawaidaaaa' mwenye sura kama amepiga chafya isiyotarajiwa halafu unaanza kujiuliza huyu Kaka amekosa nini..Hajakosa kitu...amevumbua dhahabu.Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI...MSHAURI...MBEMBELEZAJI...MTIA MOYO...MWENYE MAONO....Sio Mwanamke anajua Club zote mpya ilizofunguliwa Wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mmewe ku-acquire Land.
Utashangaa na mkalio wako kama dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa bishosti hajawahi kuvaa kipedo tangu azaliwe,anavaa charanga.
Kama unadhani Shepu ni mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta...Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu Vina Akili na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama Mtazamaji kwa sababu HUOLEKII jirekebishee.
Sasa hapo unamchokoza lara1
Mithali 11:22 "Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe,Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili."Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama Miss Utalii na Makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi...Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX