bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,116
Wana jamii!!
Natumai mu wazima, nimelazimika kuchepuka kazini walau nitoe dukuduku langu kuhusu aina ya mabadiliko tuliyoyataka watanzania na hali halisi ya yale tuyaonayo kwa sasa..
Ni wazi kuwa 2015 tulihitaji mabadiliko, either ndani ya ccm hata nje ya ccm, tulilia sana kuhusu kupata dictator atakaye tunyoosha, tukitaka mifumo ya nchi inyooshwe na kurekebishwa tukianzia bandarini, sekta ya utalii na hata sekta nyingine serikalini..
Mungu si athumani ametupa magufuri, anaendelea kutunyoosha,, wengi wetu tumeshaanza kulalamika na kumlalamikia eti sijui nini nini...watanzania wenzangu ni sisi tuliotaka rais:
-Atakayekomesha rushwa
-Atakaayezuia ufisadi
-Atakaye ondoa biashara ya madawa ya kulevya
-Atakayetupa maisha mazuri
-Atakayeondoa hao waliokuwa wanajiona miungu mtu.
Sasa tumempata lakini leo tena ni wa kwanza kulalamika na kusema bora aliyepita, Mungu atupe nini watanzania wenzangu?
Haya tumemkomalia sana mheshimiwa makonda, kuhusu vyeti vyake tumeacha kuzungumzia alikuwa anafanya nini kuliokoa taifa dhidi ya madawa ya kulevya. nani aliweza hapo awali hata kupunguza kwa kiasi hiki...leo hii ukipita kinondoni manyanya kumechangamka ule ujinga ujinga kuwakuta watu wanalala hovyo hovyo kumepungua kwa kiasi kikuba sana...
Watanzania wenzangu lazima tuache mabadiliko haya yafanye kazi, tuache kumwandama makonda kwa kazi anayoifanya kwa kupitia vyeti vyake, KUMBUKENI ELIMU SI CHETI, NI UJUZI, Sasa leo hadi viongozi wa dini wanaingia siasani jamani...ili hali tulitegemea viongozi wa dini ndo wawe watoa elimu ya namna ya kutokuvunja sheria za nchi...
Sasa Leo hii tumeacha mabadiliko tuliyoyalilia miaka michache iliyopita tumeanza kutaka kurudi tulikotokea huko anyway...hatupo serius kabisa....
Time will tell ambapo magufuri na makonda watakumbukwa hata kwa haya mazuri waliyoyafanya...
Nawatakia mchana mwema..