Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 703
- 768
Kuna elimu za aina nyingi.
Lakini naweza kutaja baadhi ya makundi kama ifuatavyo:
1. Elimu ya kujibia mitihani - physics, geography, Kiswahili, nk, tunayofunzwa shuleni, vyuoni. Kuna kundi kubwa la watu wanaishia hapa. Na kuna asilimia kubwa ya ujuzi wa humu ambao hata hauhusiani na maisha yetu halisi.
2. Elimu ya vyombo vya habari - mara nyingi hizi ni habari ambazo, ama zinapendelea watawala au ni za kuibua hisia ili mtu aweze kuchomoa chapaa mfukoni. Kundi kuuubwa la watu linategemea hapa; na wanaposikia kitu hawadhani kuwa zinaweza kuwa si kweli.
3. Elimu ya burudani - hii imo kwenye vitabu vya hadithi, filamu, maigizo, na mambo kama hayo.
4. Elimu ya ujuzi mbalimbali - Hii unaweza kuitafuta mwenyewe kulingana na shauku yako, mfano kufuma, useremala, kufanya biashara mtandaoni, ufugaji, kilimo, nk. Kuna vitabu vingi tu vinavyoweza kukufunza ujuzi uutakao.
5. Elimu ya nini HASA kinachoendelea duniani - hapa ndipo hasa mimi ninapopapenda.
Kila kitu kinachoendelea duniani, kina sababu zake. Nyingi ya sababu hizi zimefichwa na kufunikwa na rundo la propaganda ambazo zimepambwa kwa mng'ao na mmeto, hivi kwamba ukiwaambia watu kwamba jambo hili si kama wanavyosema - kabla hujapingwa na wahusika, utakuwa umepingwa na wale waliodanganywa. Lakini ukweli unabakia kuwa, ukipenda kujua nini HASA ukweli wa mambo, unaweza kujua.
Mfano:
(a) Nini hasa kilisababisha vita vikuu?
(b) Hivi ni kweli ukimwi upo?
(c) Je, ni kweli WTO iliangushwa na ndege na kwamba Osama alihusika?
(e) Umoja wa Mataifa ni kweli wa mataifa?
(f) Ni kweli kama saratani na kisukari hayana tiba?
(g) Ni kweli magonjwa kama ndui yaliondolewa na chanjo?
Vifuatavyo ni baadhi tu ya vitabu - kwa anayependa - anaweza kusoma, ukaweza - japo kwa muhtasari kuona yale HASA yanayoendelea ulimwenguni humu. TRUTH REALLY SETS US FREE. FEAR SETS US INTO BONDAGE - na ndiyo wanayoitumia SANA.
(I) Goodbye germ theory - Je, magonjwa ni kweli yanasababishwa na vijidudu (germs) au la? Ni swali kama la kipuuzi, lakini ukisoma, utaishia kuwa na mtazamo TOFAUTI kabisa.
(ii) Drugs kill, water cures - Hivi ni lazima kweli nikumwa ninunue dawa za malaki ya pesa? Hakuna kweli njia rahisi? Ukisoma kitabu hiki, you will be surprised.
(iii) Pawns in the game - Je, ni akina nani walio nyuma ya vita karibu vyote duniani na kwa nini?
(iv) Rule by secrecy - dunia inaongozwa na akina nani hasa? Wengine kwa nje ni watu wa Mungu lakini kwa ndani ni mbwamwitu hasa.
REALITY IS NOT WHAT WE OFTEN SEE EXTERNALLY.
VITABU HIVI NA VINGINE MAELFU VIPO TU MTANDAONI.
Tusome jamani.
Ndio maana sizibi pua na hata hofu sina.