1.Mr Single and searching
Huyu kwa kumuangalia tu utajua anahitaji mwenza wa maisha yake,tofauti na wengine,huyu hupenda kuhudhuria sherehe mbalimbali na kujichanganya na watu,hupenda kutabasamu mara kwa mara haswa anapokutana na jinsia tofauti na katika mitandao ya kijamii 90% ya marafiki zake ni jinsia tofauti,this guy hits randomly,fast,and sharp.
2.Mr Manchellor
Duu huyu bana ni single aliyekubuhu,yuko katikati ya miaka ya 30 na kuendelea,kwa kifupi amekomaa,huyu hadi umfaham vizuri ndio utajua kuwa ni single,mara nyingi wana kipato na wako serious sana to be romantic.
3. Mr single and not searching
Huyu anakuwa ni misimamo isiyoeleweka sometimes unaweza kudhani ni mchungaji, shehe,au ni shoga,kwa ujumla huwa na tatizo kidini,kifikra au kimaumbile.
4.Mr player
Huyu ni common,kila siku utamuona na msichana mwingineutakuta ana gari na kazi na maneno malaini hivyo wanawake wanamkimbilia ahadi kubwa ikiwa ni kuolewa nae,mwisho wa siku huwaacha wale wazuri wooote na kuoa mmoja ambaye ni quiet and cool.
5. Mr Sugar Mummy (Marioo)
Huyu yeye hana kazi lakini ukiona nyumba anayokaa au gari analoendesha utashangaaa,mara nyingi huwa katika mapenzi kwaajili ya pesa.
6.Mr single like he is married
Huyu anaweza akakaa na mwanamke kwa wiki au mwezi mmoja kama mke wake,ataosha vyombo atapika ataenda sokoni atammshirisha kwenye mipango yake alafu akiondoka analeta tena mwingine hivyo hivyo,huyu kwa kifupi ni kwamba hawezi kulala peke yake wala kupika peke yake.
7.Mr Single dad
Huyu tayri alishaoa na kuachiwa mtoto eidha kutokana na kifo cha mpenzi wake au talaka,anaishi na mtoto wake huku akitarajia kupata mke mwingine.
Kwa wanaume,je wewe uko kundi gani?
kwa wanawake,je ungependa single yupi kati ya hao?