Aina nane ya wanawake wanaoweza kukuchelewesha kimaisha

Aina nane ya wanawake wanaoweza kukuchelewesha kimaisha

Nipe Maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
335
Reaction score
190
Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.

Wanaume wengi mnapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja mbele, afu unarudi mbili nyuma.

Mwanaume mwenye malengo unatakiwa kuwaepuka hawa:

1. Mwanamke Mzuri Bila Akili

2. Mwanamke Anayependa Maisha Laini (Soft life)

3. Mwanamke Asiyekubali Uwe Mbali Nae

4. Mwanamke Anayetawala Wanaume

5. Mwanamke Anayelenga Kipato Chako

6. Mwanamke Aliyekufa Kiroho

7. Mwanamke Anayejivunia Muonekano Wake

8. Mwanamke Mwenye Sumu ya haki sawa
 
Sasa hiyo ni aina gani za wanawake??... Na mwanamke mchawi je , au mwanamke mwenye wivu na jeuri hao vp .....
 
Back
Top Bottom