Wanachofanya kukuibia ni hivii:-
Ukinunua "bando" i.e la internet kwa M-Pesa hawakupi majibu ya ukamilifu wa muamala, ukiangalia salio unakuta lipo vile vile.
Muda ukipita utajaribu mara ingine kununua, pia hutapewa report ya kufanikiwa, kwa kuwa salio halitakatwa, utaridhika kuwa muamala haujakamilika.
Utajaribu mara ya tatu au hata nne, ukiisha kata tamaa na kuacha baada ya nusu saa au zaidi kidogo wanakuuzia miamala ya bando zooote ulizojaribu kununua na mbaya zaidi uwe ulinunua bando za siku, unaweza kujikuta umeibiwa hadi 10,000/ kwa staili hii walioibuni hawa vodacom.
Natafuta njia bora kabisa ya kuachana nao maana tazama wanatumia mabilioni ya shilingi kutafuta wateja kwa matangazo ya biashara yao, lakini wanashindwa kutumia mtaji mdogo kabisa kuendelea kunipa huduma niwe sehemu ya kuwaingizia faida iliyokusudiwa na matangazo ya kuwalipa kina daimond kusaka wateja.
Piga costomer care yao uone majibu yao ya kukariri, AIBU.
Hivi ili ukope kwenye mpawa yao masharti yakoje?Leo nimenunua mda wa maongez 2200 kutaka kujiunga ikagoma kbsa km mara mbili mara ya tatu naambiwa salio halitoshi...kucheki imebaki km sh 200 zimeliwaje wanajua hao wezi...kwa kweli TCRA wawashughulikie voda
Hahaha mkuu unataka kukopa hlfu utoweke...kwa mimi sijajiunga wala sijafatilia hiyo m pawaHivi ili ukope kwenye mpawa yao masharti yakoje?
Wanachofanya kukuibia ni hivii:-
Ukinunua "bando" i.e la internet kwa M-Pesa hawakupi majibu ya ukamilifu wa muamala, ukiangalia salio unakuta lipo vile vile.
Muda ukipita utajaribu mara ingine kununua, pia hutapewa report ya kufanikiwa, kwa kuwa salio halitakatwa, utaridhika kuwa muamala haujakamilika.
Utajaribu mara ya tatu au hata nne, ukiisha kata tamaa na kuacha baada ya nusu saa au zaidi kidogo wanakuuzia miamala ya bando zooote ulizojaribu kununua na mbaya zaidi uwe ulinunua bando za siku, unaweza kujikuta umeibiwa hadi 10,000/ kwa staili hii walioibuni hawa vodacom.
Natafuta njia bora kabisa ya kuachana nao maana tazama wanatumia mabilioni ya shilingi kutafuta wateja kwa matangazo ya biashara yao, lakini wanashindwa kutumia mtaji mdogo kabisa kuendelea kunipa huduma niwe sehemu ya kuwaingizia faida iliyokusudiwa na matangazo ya kuwalipa kina daimond kusaka wateja.
Piga costomer care yao uone majibu yao ya kukariri, AIBU.
Tigo ndo penyewe kakaNa mpesa ikishafika jioni kuanzia sa kumi na mbili haifanyi kazi unaambiwa tunashughulikia tatzo hili nalo jipu...m skuiz nmerud zangu tigo
Voda wezi siku zote,kama hii ya dabo bando hakuna chochote usijaribu kabisa utalia
Nachelewa kulipa, sitoweki mkuu
Na mpesa ikishafika jioni kuanzia sa kumi na mbili haifanyi kazi unaambiwa tunashughulikia tatzo hili nalo jipu...m skuiz nmerud zangu tigo