Aina miili (body types) endomorph, ectomorph, mesomorph.

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
7,618
Reaction score
11,855
Kuna wakati mtu anataka kuwa na shape Fulani lakini inashindikana. Unataka kuongeza uzito lakini inashindikana, unataka kupunguza uzito lakini inashindikana, turudi kwenye aina za miili.

Ectomorph, huyu mtu ni mwembamba Sana, si mwepesi kuwa na uzito mkubwa hata ale Nini au afanye mazoezi kiasi gani, anaweza kula vyakula vyenye mafuta Sana lakini kunenepa haiwezekani. Mtu huyu Huwa na mifupa miembamba na miepesi, miguu mirefu na mikono mirefu pia, wanafaa Sana kwenye mazoezi ya kukimbia Ila sio wazuri kwenye mpira wa miguu na kikapu.

Endomorph, ni mtu huyu ni mwepesi kuwa na uzito mkubwa, pia kupunguza uzito ni kazi Sana, mwili wake ni mpana mifupa mipana, sio warefu Sana ni wa wastani, ni wazuri kwa mpira miguu na kikapu pia.

Mesomorph, huyu mtu anaweza kupunguza uzito au kupata uzito kwa urahisi kulingana na anachokula ni mzuri kwa mazoezi yote na michezo yote.

Hivyo wakati wa usijihangaishe Sana kutaka kufanana na Fulani cha kwanza jitambue wewe una una mwili wa aina gani ( body type) kula kulingana na mwili wako. Asante na ubarikiwe.

Reference
www.uh.edu. comm. educator body types
 
shukrani kwa elimu naanza kuzitafuta six pack sasa mimi ni Mesomorph
 
Hadi nitambue calories unazotumia kwa siku au vyakula ulivyozoea kula siku ndio tuanze process
nakupataje mkuu unisaidie mimi nakula sana vyakula vya wanga hasa wali,chapati na jamii ya vyakula vyote vya.ngano.
 
Yaani vyakula vya wanga na mafuta (nyama) vinaongeza uzito Sana pia vitu vyenye sukari ambayo si ya asili mfano soda bia yaani vya kusindika. Kula vyakula visivyokobolewa mfano Dona kidogo na mboga za majani kwa wingi na matunda ili ushibe, hakikisha kama ni wanga na mafuta ni portion kidogo mboga na matunda kwa wingi, ( Acha ulaji wa nyama hasa nyekundu na bia) kula samaki kuku kidogo mboga za majani kwa wingi na matunda. KAMA UNATAKA KUPUNGUZA UZITO KWA HARAKA IPO NJIA LKN SIKU SHAURI SANA PUNGUZA ULAJI WA NGANO PIA YAANI chapati na bidhaa zote za NGANO piga mazoezi kwa wingi pia kunywa maji glasi mbili dakika kumi kabla ya kula chochote. Kwa maelezo nifuate inbox kama unataka kupunguza uzito kwa haraka kwa NJIA salama zaidi. Kamwe usitumie dawa za hospital kupunguza uzito.
 
Kwanza asante kwa somo hili, pili kuna hii huwa najiuliza sana hasa kwa wadada na wanawake kwa ujumla,

kuna ambao ni wembamba mpaka basi pamoja na kuwa na maisha mazuri na kuzingatia kula lakini hawapati mwili kabisa wanabakia tu vimbaumbau ila wakipata tu ujauzito mwili huja na hubakia hivyo hivyo tofauti na miili waliyokuwa nayo awali hata baada ya muda mrefu kupita

je kuna namna sababu kama ujauzito huweza kubadili aina ya miili? wajuzi fungukeni
 
mimba hubadili vichocheo vya homoni, usishangae kama ngozi haing'ai, ikang'aa lakini baada ya kujifungua hurudi vile vile, pia kipindi cha mimba mtu anapata mda mrefu wa kupumzika, na metabolism zinazofanya kazi ya kugeuza chakula kuwa nishati ya mwili huongezeka, hivyo watu aina ectomorph hawatakiwi kupiga mazoezi makali sana bali kidogo kidogo, hawa hasa ni wanariadha wakubwa duniani.
 
Back
Top Bottom