Aina hii ya wivu ni ujinga au ujanja?

Aina hii ya wivu ni ujinga au ujanja?

nimekusoma mkuu, lakn umejitahidi sana maana watu wengi wanafikiri ni ukweli.

mkuu unaweza!!! jf nisehemu ya kufanyia mazoezi kama unadonto za kuwa mtungaji. asante

Ahsanteeeee.
 
Ulipokosea. Tarime one ni pale nilipokuwekea red

Ngoja nikusaidie kitu kimoja, siku zote ukweli wa mtu umo moyoni mwake, kama mimi nilishuhudia hilo tukio siwezi kukulazimisha wewe ukubaliane na mimi coz nilieshuhudia ni mimi sio wewe.
 
Last edited by a moderator:
Leo nilikua sijiskii
fresh so sikutoka home, jioni hii nimetoka kunyoosha miguu nikaamua
kumtembelea best yangu ambae tunaishi jirani, we!kufika nikakuta
anachoma vitu nguo, picha navinginevyo, na the way niliona vile vitu ni
vya kikekike nikamuuliza sababu ya kuvichoma moto akanipa sababu ambayo
imenisukuma kushare na wana MMU, kwamba wamekosana na mpz wake so hataki
kuona hata kumbukumbu ya kitu chake chochote ndani ya nyumba yake
kinachomhusu huyo mdada,
na huyu ni kama mtu wa tatu namwona akifanya jambo hilo kwani
nilishashuhudia jamaa akichoma gari, hivi huu ni wivu wa aina gani?na
bado nikajiuliza it means hawatakutana tena au kusalimiana as far
wanafanya kazi kampuni moja,JE?

eti kachoma si angamuita akampa kila kitu chake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom