Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Leo nilikuwa sijisikii fresh so sikutoka home, jioni hii nimetoka kunyoosha miguu nikaamua kumtembelea best yangu ambae tunaishi jirani.
Kufika nikakuta anachoma vitu nguo, picha na vinginevyo, na the way niliona vile vitu ni vya kikekike nikamuuliza sababu ya kuvichoma moto akanipa sababu ambayo imenisukuma kushare na wana MMU, kwamba wamekosana na mpenzi wake so hataki kuona hata kumbukumbu ya kitu chake chochote ndani ya nyumba yake kinachomhusu huyo mdada.
Huyu ni kama mtu wa tatu namwona akifanya jambo hilo kwani nilishashuhudia jamaa akichoma gari, hivi huu ni wivu wa aina gani? na bado nikajiuliza it means hawatakutana tena au kusalimiana as far wanafanya kazi kampuni moja.