Aina hii ya nyoka wapo Tanzania?

Ila kuna mmoja yupo kama gidamu za njumu
 
Hahahaa nimekutisha tu kamanda...binafsi sijawahi kuisikia....labda kwa wanaofahamu hiki kitu wanaweza kutujuza...
Awakawiii kusema nyara za serikali [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kariakooooo Ipi iyo ?


Hii hii KARIAKOO uijuayo! Ya [HASHTAG]#mujini[/HASHTAG]! Salidalama chief, wamejaa tele! Mtaa Wa aggrey/msimbazi! Kuja ujionee manyoka ya mwendokasi! Unalipia 2000 tu kwa Dk 15 kuwaangalia
 

Attachments

  • images-35.jpeg
    7.8 KB · Views: 45
  • 2016-11-26-11-19-32--820475166.jpeg
    9.2 KB · Views: 48
  • 2016-11-26-11-19-32--820475166.jpeg
    9.2 KB · Views: 35
  • 2016-11-26-11-19-32--820475166.jpeg
    9.2 KB · Views: 36
Rangi ya nyoka haikufanyi umtambue kwamba anasumu au la.Kati ya hao niliyeweza kumtambua ni hy mweupe anaitwa Garbon viper.Anasumu kali na kidonda chake hauponi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwani tabora kunabahari mkuu
labda ipo, maana nyoka wa bahari hawezifly toka dar amaatlantic mpaka tabora.
rejea kauli yake, "Tabora kuna kila aina ya nyoka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…