Nunua Macbook yenye m1 chip. According to benchmarks ni nzuri kwa renderingNi mashine ipi ni Kali na ipo speed kwenye 3d rendering kwa program Kama blender 3d na wenzake na yenye Bei ya kiTanzania. Maana natumia mashine yenye core i5 gen 3 ipo slow sana ingawa bado najifunza Ila kwa nilipo fikia naona siwez kwendanayo maana kwasasa mimi sio beginner na siwez kuwa Pro na hii mashine. Kwasasa najichanga changa niagize no matter ni mpya au used
Kwanini? Apple kawapiga chini intel kaona wanazingua wanatengeneza processor zinatafuna umeme na kuzalisha joto kama pasi 🤣🤣Hapa nilipo natumia Macbook pro 13 ni intel core i5 3xxx nawaza nikapige bei nitafute pc nyingine
Wewe unahisi budget yako itakuwa range gani?Ni mashine ipi ni Kali na ipo speed kwenye 3d rendering kwa program Kama blender 3d na wenzake na yenye Bei ya kiTanzania. Maana natumia mashine yenye core i5 gen 3 ipo slow sana ingawa bado najifunza Ila kwa nilipo fikia naona siwez kwendanayo maana kwasasa mimi sio beginner na siwez kuwa Pro na hii mashine. Kwasasa najichanga changa niagize no matter ni mpya au used
Huwezi pata mkuu itakayo upgrade toka gen ya 3.400k-600k apo vp
Je ni vyepesi kupata Desktop yenye uwezo mkubwa kwa bei ndogo kuliko pcHuwezi pata mkuu itakayo upgrade toka gen ya 3.
Intel gen ya 3 mpaka ya 7 zote i5 na i7 ni dual core na thread 4.
Kuanzia gen ya 8 ndio wali double core zikawa core 4 na thread 8. Hua video editing na rendering zinapenda sana core nyingi.
Hivyo mkuu angalau kabisa utafute i5 gen ya 8 iwe na dedicated gpu hata lowend utaona improvement. Ila i doubt kwa laki 6 utapata labda kama laki 8 hivi used ama 7.
Alternative Tafuta Desktop, hio budget ni kubwa kwa desktop, i7 gen ya 2 mpaka ya 7 will be huge upgrade ukitupia na gpu used toka Aliexpress umemaliza kazi.
Ndio desktop kikawaida zina nguvu kuliko laptop na upatikanaji ni mrahisi.Je ni vyepesi kupata Desktop yenye uwezo mkubwa kwa bei ndogo kuliko pc
Poa kuna desktop flani nazionaga mtandaon lile housing lake linaonesha hadi ndani(Transparent) inatoa mianga flani hivi kwenye processor kama umeisha wahi kuiona sijui zitakua zinafaaNdio desktop kikawaida zina nguvu kuliko laptop na upatikanaji ni mrahisi.
nina ka pc ka core i5 gen3 kanaenda slow alafu na zile blender not respond zakutosha kunawakati nimejipinda kutengeneza vitu vyangu kana kata ghaflaMkuu unafanya animation za aina gani na zina urefu gani? maana animation ni process ya mwisho kabisa.
Kiufupi kama unatumia blender, kwenye modelling, rigging mpaka baking unaweza kutumia pc yoyote kuanzia gen ya 3 yenye kuanzia open gl 3.1 na kuendelea.
Watu wengi wanachanganya, blender unaweza kuchagua kurender kwa cpu au gpu, ukichagua cpu kila core moja itabeba cycle 1, maana yake kama pc yako ni i5 4th gen na kazi yako ina cycles 500 itakuchukua sekunde 125.
Mi nilianza na i5 second gen, walipotoa blender 2.8 ikawa inataka open gl kuanzia 3.1 nikachukua i5 4th gen miaka hiyo.
ushauri wangu; Tafuta desktop kuanzia generation ya 4, ukipata dell optiplex ni nzuri maana unaweza kuiacha hata siku iki render 3 cpu load ikiwa 100. ukishapata desktop tafuta mouse ya mtumba yenye 3d button laini. then fanya kazi ila kama una project kubwa na una kipato basi nunua graphics card maana graphics card ya kukupa matokeo mazuri sio chini ya 1m.
Nimefurahi kuona kijana unapenda 3d.
unatumia blender version ipi?nina ka pc ka core i5 gen3 kanaenda slow alafu na zile blender not respond zakutosha kunawakati nimejipinda kutengeneza vitu vyangu kana kata ghafla
Mkuu angalia specification huo urembo utakuja kuchanganya. Pia gaming pc sio lazima iwe nzuri kwenye blender, unahitaji core nyingi kadri iwezekanavyo kwenye blender wakati gaming inahitaji core chache ama Nyingi ila zenye nguvu.Poa kuna desktop flani nazionaga mtandaon lile housing lake linaonesha hadi ndani(Transparent) inatoa mianga flani hivi kwenye processor kama umeisha wahi kuiona sijui zitakua zinafaa
toa driver ya picha iliyopo uweke driver latest ya picha tatizo litaisha3.0 na sitaki kushuka version