MUKHTALIYA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kujivua yaani mara kwa mara hupenda kuomba talaka hata kosa si kosa yeye keshataka aachike tu, huyu hafai hasa ukimpenda sana atakusumbua ni tabia mbaya mwanamke kutaka talaka ovyo
6 AL BARRAAKAH - Mwenye kumemetuka, huyu hupenda kujipamba akiwa anakwenda kazini,sokoni au shughulini ila nyumbani hajipambi ng' oo huyu analeta ugonjwa wa moyo
Wanawake wa aina hiyo ni kuachana nao Kwa amani waondoke wakatafute wanapoweza kufanya hayo mambo.Tena kile kipindi akishazaa Kwa uchungu nryo muda sahihi wa kumbwaga