Aina 16 za watu duniani

Una ingia kwenye aina zote 16?
Uintrovet na uextrovet ni kama scale inawezekana ukawa katikati ya scale hivyo ni ngumu kujijua exactly ni introvet au extrovet
 
Mimi pia ni logician naamini hakuna mtu anaishi maisha mazuri duniani kama logician
Life of not giving a f*ck
 
Mimi pia ni logician naamini hakuna mtu anaishi maisha mazuri duniani kama logician
Life of not giving a f*ck
Yeah tunakuwa na Amani sana, hata mtu akikuudhi mpaka ukasirike ni umetafuta Logic ya kwanini kafanya!.
 
Mkuu asante sana kwa elimu hii nzuri, mimi naangukia kwenye introvert, first category "Architects, lakini pia nina sifa nyingi za category hii ya campainers.
 
mkuu mtu mmoja anaweza kuingia katika makundi zaidi ya moja?
Inawezekana ukapata shida kujiweka kundi lipi katika category moja mfano category ya pili ukapata tabu kujijua ni advocate au mediator
Protagonist au campaigner
Lakini kuwepo kwenye makundi yanayotokea category tofauti mfan logician na vitruoso ni ngumu kwa sababu watu kutoka category tofauti wanatofauti nyingi
 
Mkuu asante sana kwa elimu hii nzuri, mimi naangukia kwenye introvert, first category "Architects, lakini pia nina sifa nyingi za category hii ya campainers.
Interesting!!Unawezaje kuumudu u campaigner ukiwa wewe ni Introvet mkuu?
 
mbona mie sijioni mweee
Angalia vizuri kitu muhimu cha kwanza pale juu ujijue je ni extrovet au introvet?
Ukishajijua anza kutafuta specific aidha aina ambazo ni introvets au ambazo ni extrovets
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…