Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,139
- 9,553
Habari za wakati huu wana familia wa jukwaa hili,
Ningependa kuwashirikisha katika mada hii iliyo katika mfumo wa Swali,
Bila kupoteza muda, kichwa kinajieleza , kuna watu wengi sana wanauliza kuhusu kampuni ya aim global [Alliance In Motion Global] kama ni kampuni yenye uhusiano wa kifreemason au illuminati,au hata kwa lugha nyingine niseme [kujihusisha au kujiendesha kwa mfumo wa kishetani].
Mimi ni miongoni mwa watu walio escape baada ya kuona business hainikai, wao wanaita [ku-quit].
Yeap! Nili quit baada ya miezi miwili na..., Sasa kwa muda niliokaa kule niligundua kuwa miongoni mwa sababu zinazowapelekea watu ku-quit ni:
1.Gharama ya kujiunga.
2.Kuitwa au kushirikishwa kwa kutajiwa jina tofauti la kampuni na kazi tofauti[yaani unaambiwa taarifa fake kuhusu kampuni ili uhudhurie semina].
3.ugomvi baina yao kulingana na ugumu wa maisha [Maskini siku zote hawapatani].
4.Watu kuhofia kampuni hujihusisha na kuendesha shughuli zake kishetani[kifreemason].
5.Business hailipi kwa sababu ya ugumu wake kwani ili ufaidike ni lazima upate watu wa kuwashirikisha na watoe kiasi kikubwa cha pesa [kulingana na hali Duni ya kiuchumi hapa nchini].
Naam! Hizo ni baadhi ya sababu zinazowapelekea members wa aim global ku-quit, lakini pia zipo sababu nyingine nyingi.
Sasa hapo kwenye point [sababu] namba 4, na mimi naweza kusema pia ni sababu iliyopelekea niquit, japokuwa kuna sababu nyingine iliyonifanya Ku-Pass Ma-Clouds.
Lakini kitu ambacho kinanitia wasiwasi ni kwamba, ile kampuni wanasema ina kibali kutoka HALAL na KOSHA[Hizi naweza kusema ni taasisi zinazohusika na kuwasimamia waislamu (HALAL) na wakristo(KOSHA) mahala pa kazi. Hapo ndipo nilipochukulia maamuzi ya kuleta kwenu wanajukwaa ili mnisaidie katika hili.
#Swali: Je ni kweli kampuni ya Alliance In Motion Global [Aim Global] inahusiana na mambo ya kifreemason au illuminati?#
Pia hii itakuwa ni faida kwa wengine kwani hata ukisearch Google kuna numbers of people wameuliza kuhusu hiki kitu, lakini majibu hayapo ya kueleweka.
Na kumbukeni [lisemwalo lipo na kama halipo basi lita...]
Nawasilisha wakuu karibuni
1.#JF members
2.#Aim global member
3.#Others.
Karibu
ㄏRayn ㄏRayns