Nimeamini kweli tz kuna vituko.Kuna simu OKING mchina kweli kweli, inapowashwa redio huku ikitumia spika yake (sio headphone) ina sauti ya juu na haipunguziki.Ili kuisikiliza kwa amani inabidi ifunikwe shuka au iviringishwe kwenye nguo, vinginevyo volume iko juu (nadhani ki spika chake kinatema kwa high frequence kwani hutovumilia sauti yake).
Unapotumia headphone unaweza kuidhibiti sauti kadiri upendavyo ukapunguza sauti au ukaiongeza utakavyohitaji.
MCHINA KIBOKO!
Unapotumia headphone unaweza kuidhibiti sauti kadiri upendavyo ukapunguza sauti au ukaiongeza utakavyohitaji.
MCHINA KIBOKO!