Swali zuri sana.
Aibu na haya ni vitu viwili tofauti kabisa.
Aibu ni kufanya vitu ambavyo vinatilisha aibu, viti vile c vizuri upande wako, katika family yako, marafiki zako....Aibu ni kitu amabcho si kizuri kwa ujumla sema kuna badhi ya watu wanafananisha aibu na haya, wanasema yule anaibu yule sana, badala ya kusema yule ana haya sana.... Mtu asiye na aibu anaweza kufanya kitu kibaya mbele za watu bila kujali.
Haya siku zote ni ktu kizuri, mwenye haya siku zote ni mtu ambaye hafanyi mambo ya kutilisha aibu upande wake na kwenye family...Mtu mwenye haya hawezi kufanya vitu vya aibu mbele za watu....kwa ujumla mtu mwenye haya ni yule anaye fanya vitu vizuri, hatilisha aibu kwenye family yake...Kwa hivyo haya na Aibu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Aibu=Baya
Haya=Zuri.
Kuhusu swali la je wanaume na wanawake tunapishan katika hayo...hapo tunapsihana kila kitu...Inategema na kila mmoja anatumia vipi akili yake.