π€£π€£π€£π€£Hapo Takukuru watakwambia tunawaachia ccm wenyewe maana wana utaratibu wao wa kushughulikia hizi kesi zao
Hii nchi inasikitisha sana aisee, Na aliyesema hivi ni mtu alikuwa kanali sijui Brigadia wa Jeshi. Mambo mengine yanauma sana yaani na ndio vyanzo vya laana katika nchi.
Takukuru kile kitendo cha kuacha kuwakamata na kuwashtaki ccm kipindi cha uchaguzi 2020 Mlikosea sana.
Ndio hao hao.....cheki walivyochokaπ€£π€£Ndiyo hawa wanaojiita uvccm humu? Au ni wengine!!
AmeeenMungu itumbukize shimoni CCM MUNGU ibariki CHADEMA
π€£π€£π€£π€£Ingekua vyama pinzani hapo mpaka sasa ungekuta wamekamatwa hata wasiohusika na press imefanyika
TAKOKURU ipi unaitaja?Tazameni matendo ya hovyo kwenye chaguzi zinazo endelea ndani ya uvccm.
Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa la watu waliostaarabika.
Takukuru fanyeni kazi yenu bila kuangaliana itikadi.View attachment 2421145
Unadhani zile kelele za kumpamba mgombea nguvu zinatoka wapi? Ukileta ubahili hutapata Kura.Wenyewe ndiyo wanapenda hivi
Chama cha RushwaTazameni matendo ya hovyo kwenye chaguzi zinazo endelea ndani ya uvccm.
Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa la watu waliostaarabika.
Takukuru fanyeni kazi yenu bila kuangaliana itikadi.View attachment 2421145
Makamba alipatikana kwa millioni 300. Alimmaliza kabisa William Shelukindo kule bumbuli kisha akajipitisha bila kupingwa. Milliini 300 iliteketea.Akina makamba ndio hupatikana hivi
Na wapo tayari kufanya ubaya wowote kwa mtu yeyote wakati wowote !!Tuvijana tuizituizi na tunafiki ndiyo tunakimbilia UVCCM
Hawa jamaa bila bahasha hamna kinacho fanyikaTazameni matendo ya hovyo kwenye chaguzi zinazo endelea ndani ya uvccm.
Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa la watu waliostaarabika.
Takukuru fanyeni kazi yenu bila kuangaliana itikadi.View attachment 2421145
πππ
Ccm ni [emoji117][emoji90]Uvccm ndiyo adui mkubwa wa amani na maadili ya vijana wa taifa hili.