Aibu ya kulindana Jiji la Mbeya, sasa ni shamba la kuchumia wenye madaraka

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
* Mkandarasi aliyeboronga ujenzi wa barabara za lami mitaa ya Jiji hilo aachishwa kazi bila kuchukuliwa hatua, akabidhiwa kazi mkandarasi mwingine.

* Uchafu wazidi kila kona ya Jiji, Halmashauri yakwama kutengeneza magari kwa kipuli cha Shilingi Laki moja na elfu hamsini!

*Ili kuwazima wanaoweza kuhoji, vigogo watumika njia ya kikoloni ya kuwagawa kisha kuwatawala....

*Tetesi za kuhamishwa Mkurugenzi zatanda, adaiwa kuwa mmoja wa......

*Kila aliyeshiriki mchezo ....abaki na marashi ya ''neema''

* Kitega uchumi cha Jiji kilichopo soko matola chashindwa kukamilika, Ghorofa la Soko la kimataifa la Mwanjelwa linalodaiwa kuwa chini ya kiwango na kushindwa kukamilika labaki na utata mtupu.

* Madiwani wa Chadema wabaini kupumbazwa na mmoja wa kigogo waliyefikiri kuwa yupo pamoja nao, wasema kilichobaki kuinusuru Mbeya ni vigogo wa CCM na serikali kuu kuyaona madudu hayo.

Taarifa kamili endelea kutembelea mtandao huu wa sauti ya wasiosikika KALULUNGA MEDIA, SAUTI YA WASIOSIKIKA. ambapo kikosi kazi chake kinakuletea taarifa kamili za madudu ya Jiji hilo la Mbeya.
 
Back
Top Bottom