N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,675 Aug 4, 2022 #1 Ma viwanja mengi yako hivyo,pitch ina afadhali,vyumba vimekarabatiwa sehemu ya kukimbilia ni pachafu vumbi kabisa Si waweke moramu zile chengachenga zilizisagwa au wamwagie mchanga
Ma viwanja mengi yako hivyo,pitch ina afadhali,vyumba vimekarabatiwa sehemu ya kukimbilia ni pachafu vumbi kabisa Si waweke moramu zile chengachenga zilizisagwa au wamwagie mchanga