Access Denied
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 655
- 211
Taarifa za biashara zimechanganywa na za wiki iliyopita, picha hazina ubora hata kidogo yaana ni aibu kubwa alaf ndo wameipeleka hadi dstv hii chanel.
Star times wamewaingiza watu mkenge. Yani tbc inaonwa na takribani 95% ya watanzania. Mabadiliko kamwe hayatatokea tz.
Taarifa za biashara zimechanganywa na za wiki iliyopita, picha hazina ubora hata kidogo yaana ni aibu kubwa alaf ndo wameipeleka hadi dstv hii chanel.
taarifa za biashara zimechanganywa na za wiki iliyopita, picha hazina ubora hata kidogo yaana ni aibu kubwa alaf ndo wameipeleka hadi dstv hii chanel.
hakuna mjomba! Ving'amuzi vingine vyote ni matapeli tuhivi ukiacha dstv king'amuzi kipi ni bora?