Hao HESLB wame-copy majina ya watu wote waliosoma katika miaka hiyo, ina maana hawafahamu huyo Kikwete, Rithiwan anakopatikana kiofisi, Wamwandikie Boss wake aanze kumkata mshahara na kuwatumia kama walivyofanya kwa watumishi wengine?
kwa mantiki hy ni waz tz haina wa2 weny uwezo wa kujilipia vyuo vkuu.hata hvyo tcu hawana vigezo waka nini wanakadiliana 2 watt wa wakulima na wa2mish wa kada za chn wanaambulia kukosa mkopo jamani jaman 2nakwenda wapi?
Anatakiwa ajibie hiyo hoja Rz 1 mwenyewe, tumsikie maana ni memba wa Jf, ingawa hoja kama hizi huwa anaingia mitini, labda zile thread za kuisifia CDM ndo huingia kuponda ponda, sasa hii inamhusu aijibie.