hebu acha kunisikitisha, naweza anza kumwaga machozi πMm nna mchango mkubwa sana hadi kimataifa n bc tuu nyie mnanichukulia poa π
πΉπΉπΉ Dah!π€£π€£π€£
View attachment 3394064
Uliza lucas ni naniππ
Inasikitisha sana mkuu πChampion kaniambia hakuna mtu kama huyo jfπ
Ngoja waje kukupa muongozo ,,π
Huyo ataniharibia tecno yanguUliza lucas ni naniππ
πππ Teknolojia mkuuWananichambua haswa mpaka Mahondaw katajwa na wengine wengine...
AI wajinga sana...
Mbona kuna jamaa aliweka taarifa zetu humu jukwaani kutoka huko Grok! Tena hata mimi nilimuomba na akateremsha wasifu wangu uliotukuka.Grok anaangalia taarifa zako kutokana na michango yako X tu havuki zaidi ya hapo.