Ahukumiwa maisha jela baada ya kubaka

Kumbe hii nchi mtu mwenye miaka 18 anaweza kumlawiti mtoto na akachapwa viboko 12 tu, shughuli ikaishia hapo.!
Nimeshangaa sana!
 
""Mama wa Mtoto aliporejea aligundua Mtoto wake hayupo sawa ndipo akaenda kutoa taarifa katika ofisi ya Serikali ya Kijiji na taratibu za kumkamata Calvin zikafanyika.""

Mama mtu alijuaje mbakaji ni calvin??
🙏🏿
 
Serikali iangalie sana hii Sheria, sitetei ubakaji, lakini fanyeni hata miaka 15,
Binadamu mwananume kati ya miaka 15 - 25 anakuwa katika kipindi kibaya cha mabadiliko ya kingono.
sasa unakuta yeye hakupanga kubaka katoto lakini huko njiani kaona wadada waliomshawishi kwa mavazi ya kuonesha maungo. sasa kwa umri huo ni shida sana. naomba mtu atafakari kabla ya kuponda, dini ya kiislam sio wajinga kusema mwanamke ajisitiri. wanajua ni tatizo kwa mwanaume. mitume walianguka ndo akawe kijana.
Adhabu iwepo lakini sio KIFUNGO cha maisha. huyo kijana akifikisha miaka 30 atakuwa mtu fouti kabisa
 
Ni bora huishi kitaa huku unashindia uji kuliko jela guys that place is hell on earth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…