Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Dini ya haki. Kujamba adhabu yake ni kifo. Haki iko wapi?
Yaonyesha binadamu atumiavyo mamlaka yake kutesa na kuua binadamu mwenzake bila hata kujali! Hizi dini mkuu zaleta maafa bila sababu...
 
Enzi hizo namsoma Shigongo level za uongo wa hao jamaa hakufikia wala kukaribia... labda siku hizi cjui!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] c ndo mana nikasema shigongo anasbr c bora hta uongo wake unakaribiana na ukweli!!/
 
Dini ya haki. Kujamba adhabu yake ni kifo. Haki iko wapi?
ndo haki yenyewe, kwanini utuchafulie ibada? ila kujamba sana ni ugonjwa, sasa kama mwislam mwenzetu tunamhujumu kwa ugonjwa ni taabu
 
Si angesali nyumbani tu, kulikuwa na ulazima gani wa kwrnda kwenye mkusanyiko wakati unajijua matatizo yako.
 
Fake News.Huko msikitini vyoo vimejaa ni vingi,sio Ku.ja.mba tu hata kumwaga kinyesi ni ruhusa chooni,na vyoo vimo ndani ya msikiti.Hii ni miongoni mwa hizo fake news.
Kweli kabisa, ukisoma kwa makini utagundua kuna chai nyingi sana kwenye hii "habari"
 
Mungu kamwe hawezi kuafiki huu ujinga labda huyo Allah.
 
Huko aliko, Mwenyezi Mungu anawaonaje hawa viumbe wake.
Unapigwa mawe hadi kufa. kisa umejamba?
 

Ma Shia ni wapuuzi sana kila siku wanafanya juhudi za Kuuchafua Uislam huku Wakificha Ukafiri wao na Kujiita Waislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…