Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Kujamba si njia ya upumuaji au hata kupiga muayo hairuhusiwi.......kweli wacha magu awahusishe na MKIRU
 
Taasisi za kudai na kusimamia haki za binadamu zisimame katika hili. Siyo haki kabisa, wengi tu wanajambiana huko.

MTU unakula usiku alafu mchana usijambe? Potelea mbali taarifa kuwa ni mgonjwa.

Adhabu zingine siyo kabisa, ya kheri angelifungwa kifungo cha maisha gerezani. Siyo kupigwa mawe mpaka kufa, wala kukatwa shingo.

Alafu hawana hata huruma, wanadai ni adhabu NYEPESI sana. Dah!.
 
Hii balaaa
 
hawa wenzetu wanapoteza sana mudaa, hii dini imejaa uhuni mwingi sanaa, ata akili za kawaida tu za kureason hawana, asee inasikitisha sanaa maana kuna watu wako radhi kufa kwa ajili ya dini ya kihuni kama hii.
 
Taasisi za kudai na kusimamia haki za binadamu zisimame katika hili. Siyo haki kabisa, wengi tu wanajambiana huko.

MTU unakula usiku alafu mchana usijambe?
Nafikiri jamaa tatizo lake hatumii sailensa!
 
Fake News.Huko msikitini vyoo vimejaa ni vingi,sio Ku.ja.mba tu hata kumwaga kinyesi ni ruhusa chooni,na vyoo vimo ndani ya msikiti.Hii ni miongoni mwa hizo fake news.
Alikuwa anaumwa nahisi huo mda wa kukimbilia chooni hana kitu kinamtoka njiani
 
hawa wenzetu wanapoteza sana mudaa, hii dini imejaa uhuni mwingi sanaa, ata akili za kawaida tu za kureason hawana, asee inasikitisha sanaa maana kuna watu wako radhi kufa kwa ajili ya dini ya kihuni kama hii.
hakuna shatia ya hivyo,si ajabu habari ni fake,inapayuka bure humu
 
Kujamba. Tu ndo wampe adhabu ya kifo.kwani MUNGU alituumba na akatujaalia Kutoa hewa chafu. Hatare
 
naona umepata sehemu ya kujamba chuki zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…