Kutanuka Kwa marindamkuu bawasili ni nini?
aisee!Kutanuka Kwa marinda
Ahsante Mkuu!Ok. maisha mema mkuu.
Nilitumia ANUSOL ya kupaka sehemu iliyoathirika pamoja na kukaa juu ya ndoo ama beseni lenye maji yaliyochemka sana. Nilikuwa naelekeza sehemu ya haja kubwa kwenye mvuke wa maji haya yaliyochemka kwa dakika 10 -15 then najikausha ndipo napaka ANUSOL. Lakini pia nilikuwa na ninaendelea kula vyakula ambavyo si vigumu sana, matunda kama vile mapapai na maji kwa wingi ili kurahisisha mmeng'enyo wa chakula tumboni. Vilevile kwa hivi sasa situmii muda mwingi kujisaidia haja kubwa, yaani kama haja haitoki si vizuri kulazimisha kuitoa kwa kutumia muda mwingi kukaa chooni kama haipo tayari kutoka kwa wakati huo ingawa mtu aweza kuwa alijisikia kabisa kupupu.Sasa si ungeweka njia uliyotumia ukapona, ili wadau wanufaike pia
Basi respect sana mkuu, mimi ninayo Lakin huwa haiumi wala nini, na huwa inajitokeza pale ninapomaliza kujisaidia kama siku hiyo nikijisaidia haja ngumu au nikikaa chooni muda mrefu tofauti na hapo haitokei, na baada ya kumaliza kujisaidia baada ya muda hupotea kabisaNilitumia ANUSOL ya kupaka sehemu iliyoathirika pamoja na kukaa juu ya ndoo ama beseni lenye maji yaliyochemka sana. Nilikuwa naelekeza sehemu ya haja kubwa kwenye mvuke wa maji haya yaliyochemka kwa dakika 10 -15 then najikausha ndipo napaka ANUSOL. Lakini pia nilikuwa na ninaendelea kula vyakula ambavyo si vigumu sana, matunda kama vile mapapai na maji kwa wingi ili kurahisisha mmeng'enyo wa chakula tumboni. Vilevile kwa hivi sasa situmii muda mwingi kujisaidia haja kubwa, yaani kama haja haitoki si vizuri kulazimisha kuitoa kwa kutumia muda mwingi kukaa chooni kama haipo tayari kutoka kwa wakati huo ingawa mtu aweza kuwa alijisikia kabisa kupupu.
Nnahofu na namna ulivozaliwaKutanuka Kwa marinda
Asante kwa mrejesho mkuu.Nilitumia ANUSOL ya kupaka sehemu iliyoathirika pamoja na kukaa juu ya ndoo ama beseni lenye maji yaliyochemka sana. Nilikuwa naelekeza sehemu ya haja kubwa kwenye mvuke wa maji haya yaliyochemka kwa dakika 10 -15 then najikausha ndipo napaka ANUSOL. Lakini pia nilikuwa na ninaendelea kula vyakula ambavyo si vigumu sana, matunda kama vile mapapai na maji kwa wingi ili kurahisisha mmeng'enyo wa chakula tumboni. Vilevile kwa hivi sasa situmii muda mwingi kujisaidia haja kubwa, yaani kama haja haitoki si vizuri kulazimisha kuitoa kwa kutumia muda mwingi kukaa chooni kama haipo tayari kutoka kwa wakati huo ingawa mtu aweza kuwa alijisikia kabisa kupupu.
Ametumia dawa hii hapa Anusul ya kuwek ndani ya tundu ya haja kubwa ni dawa ya kutib u maradhi ya Bawasiri aka Mgolo angaliapicha hiim hapa chini.Ila hiyo ANUSOL ni dawa au? Na inapatikana wapi??
Mkuu kwa kutumia Dawa ya Anusul umerudisha ndani maradhi jitahidi kula vyakula vilaini na matunda na mboga za majani usipofuata ushauri wangu baada ya muda fulani utarudi tena kuomba ushauri kwani ugonjwa umeurudisha ndani hujapona kabisa. Kupona kwako kunategemea ulaji wa chakula unacho kula kila siku hongera umejitahidi.Nilitumia ANUSOL ya kupaka sehemu iliyoathirika pamoja na kukaa juu ya ndoo ama beseni lenye maji yaliyochemka sana. Nilikuwa naelekeza sehemu ya haja kubwa kwenye mvuke wa maji haya yaliyochemka kwa dakika 10 -15 then najikausha ndipo napaka ANUSOL. Lakini pia nilikuwa na ninaendelea kula vyakula ambavyo si vigumu sana, matunda kama vile mapapai na maji kwa wingi ili kurahisisha mmeng'enyo wa chakula tumboni. Vilevile kwa hivi sasa situmii muda mwingi kujisaidia haja kubwa, yaani kama haja haitoki si vizuri kulazimisha kuitoa kwa kutumia muda mwingi kukaa chooni kama haipo tayari kutoka kwa wakati huo ingawa mtu aweza kuwa alijisikia kabisa kupupu.