Ahsanteni sana

Arabela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
3,127
Reaction score
2,227
Napenda kuthibitisha kupokea zawadi. Nawashukuru wote walionisupport nawapenda sana nathamini mchango wenu bila kura zenu nisingeweza kupata nafasi hii. Nawapenda sana
 
Naomba nipate lau nafasi,
Nipate kusema nawe kidogo mamaa,
Roho inaumia....
Cha kufanya bado sijakiona....
Source: ???????
 
Usijali Arabela.. Hongera sana kwa nafasi uliyofikia.

 
Last edited by a moderator:
Mmmmhh! Ni zawadi gani umepata tena Arabela,hebu funguka kidogo jamani!


Napenda kuthibitisha kupokea zawadi. Nawashukuru wote walionisupport nawapenda sana nathamini mchango wenu bila kura zenu nisingeweza kupata nafasi hii. Nawapenda sana
 
Naomba nipate lau nafasi,
Nipate kusema nawe kidogo mamaa,
Roho inaumia....
Cha kufanya bado sijakiona....
Source: ???????

hivi unajipenda wewe? Unajifanya malenga kuimbia watu eeh!!? Jiangalie bro! Msalimie my wife wako
 
hahahahahaha.......................Vocha? yo make me happy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…