Ahsanteni, Nimepata Ajira

Ahsanteni, Nimepata Ajira

Ubarikiwe.! Kumbuka kutoa fungu la 10% ktk mshahara wako wa kwanza. Ombea wenzako pia nao wenye njaa wapate kushiba kwa nguvu za Mungu. AMEN
 
Last edited by a moderator:
Nafasi ya Mungu ipo, kwakuwa ndiye aliyenipa uhai, na ndiye aliyenipa ajira. Nilitaka kuwajulisha tu sehemu ambazo ajira mpya hupatikana, ila inabidi muwe na moyo maana nilituma cv mpaka basi lakini wakati ulipo fika mambo yametiki. Ahsante Mungu, Ahsante http://jamiiforums.com, Ahsante https://www.facebook.com/kijiwechawasomi Ahsanteni wote, nawatakia siku njema.
 
Kapige kazi sasa usiende na mawazo ya ""kupiga'"
 
Back
Top Bottom